@NjiwaFLow Hii wamefeli katika lots of changes and designs.
Wameondoa taa za Glyph, screen yake ni weak na rahisi kuvunjika, kamera bado haijakaa poa kama Nothing Phone 2
@TOTTechs Kufungia mtandao
> kunapelekea matumizi ya VPN kuongezeka
> matumizi ya VPN yakiongezeka inazidi kuwa vigumu kuona activities za watu mtandaoni
_______
Na kama X(Twitter) imefungiwa kwa sababu ya adult contents mbona Reddit haijafungiwa na wakati ndio inaongoza kwa NSFW +18?
@mashambaowen@mafolebaraka Beginners na watu wavivu kujifunza designing ndio ambao wanaona Adobe ni ngumu na kukimbilia kwenye Canva na downloaded templates.
For real designers ambao wanapenda kujifunza na wanapenda kutengeneza their idea from scratch na lots of tools, Adobe is still the best!
@null000n@mafolebaraka Adobe sio old school, depends na mtu anavyotumia.
Adobe imechangamka pia ina lots of features kama Canva na AI za kurahisisha kazi.
Most of Adobe users wanatumia cracked app ambazo hazina full features na latest updates.
But it’s still industrial standard