Unahitaji kutengeneza a 3D animated commercial kama hiyo video hapo chini, mwanangu huyu hapa anakupigia safi let's support this guy kwani si mlisema vijana wajiajiri
Just txt him through WhatsApp : +255 765 262 343
EGGOS DRINK
3D animation product reveal(video ya kutambulisha kinywaji) pamoja na picha(renders) za hiyo bidhaa katika angle tofauti. Na haya ndiyo yalikua matokeo ya project hii niliyoifanya,Kama unabidhaa yako yoyote ambayo ungependa ifanyiwe visualization kama hii karibu DM.
Mwaka 2024 umekua mfupi sana tofauti na nilivyotegemea ikiwa nilianza safari ya kufanya 3d designs na blender software.
Moja ya kitu nilipenda kujua ni animation hivyo ilipofika mwezi wa saba nikaanza kufanya animations na hapa chini ni baadhi ya animation projects.
WELCOME 2025