Kazini kwangu,
Nafaka aina zote zinapatikana mchele, choroko,mahindi ya kande safi, njugu mawe, kunde, karanga n.k jumla na reja reja.
๐Napatikana mawasiliano sokoni ilipo stendi ya daladala (Sim2000).
Karibuni sana kwa sapoti yenu๐
Mbarikiwe sana
Maisha ya zama hizi kila mtu anaangalia masilahi yake binafsi na fam yake, usipokaza ukaacha kulaumu ukatambua mapambano niwewe dhiki ya wewe. Basi kuanzia serikali, ndugu, rafiki mpaka na mpita njia utaona wote wamehusika kukwamisha mishe zako. NEVER GIVE UP 2026 ๐๐ฟ
Ambia kabisa Familia na Mpenzi wako kuwa Biashara, Kazi ama Career yako ndio priority number moja. Usianze kujieleza kila siku โooh nilikua kazi sikupokea simu au sikujibu TEXTโ. Wazoee automatically.๐ซต๐พ
Ndugu zangu biashara yangu bado ni ileile ya mchele super kutoka mbeya unaptikana, Nipo Dsm soko la mawasiliano stand karibuni mniunge mkono. Asanteniโ๏ธ
You think youโre untouchable until life sneezes in your direction. A sickness. A loss. A job gone. And suddenly, the same ground you mocked becomes home. No one is above life.