Hii naona watu wameitafsiri vibaya, huu ni utani kama ninyi ambavyo mmetutania mambo mengi, na kwenye hiyo tweet sijaongelea maswala ya watu kuuwawa nimeongelea kutandikwa/ kuchawpwa, na ile 29 oct kwani ni Gen z tu ndio waliotoka? Mbona hata wazee walikuepo. Mi mwenyewe pia ni muhanga mpka leo nauguza kiuno kwa kipigo cha polis.