@Mwanahalisitz Nyie waandishi na nyie ni utopolo tu badala ya kuwauliza je katibu alizingatia nini kuleta jina la mfungwa ambaye alikuwa gerezani hadi siku moja kabla ya uapisho?? je mnyika alijua kwamba hanje atashinda tu kesi yake? au inaruhusiwa kuwa mbunge wa viti maalum hata ukiwa jera?
@zittokabwe@TunduALissu Badala mtutafsirie baada ya mkutano wa kimataifa kupita na mnajua elimu yetu wenzenu ndo hivyo mnaendelea kusimuliana nyinyi tu....... tuelezeni na sisi nini mmezungumza katika mkutano wenu na waandishi wa habari..... tunatamani kujua nini hatima??
@JiniKinyonga@ACTwazalendo@zittokabwe@TunduALissu Hiyo zoom bora mgeweka kabisa link ili watu waijue kesho ni kufuatilia tu tunataka kusikia zitto anasemaje kuhusu maridhiano hayo ya kipumbavu.. yanayo ombwa na watesi.....
basically telling Olivier Giroud to leave Chelsea on RTL just now: He knows it, what he is going through now cannot continue. For March, he will have to find a solution that is different to the one he is in now. ni nani yake huyu Groud??? Maana naona kakazana kweli kuzungumza
@MwananchiNews Kwa mala ya Kwanza ndo nasikia askari wamekamatwa na askari ๐๐๐ daah hizi siasa hizi......sasa huu udanganyifu wanamletea nani?? wawataje majina na sura zao kama wafanyavyo kwa waharifu wengine..kama kweli wako serious....
@Gibson44178359@zittokabwe Hiyo orodha aliyoitoa zito ni kuhusu watu wa ACT tu lakini Wa chadema bado hawajatoa orodha yao ya vifo vya watu wao waliouliwa na polisi.sasa najiuliza sijui watatoa lini orodha yao maana ni muhimu tujue ni watu wangapi walifariki huku bara na visiwani kwa upande wa chadema pia.
@MagufuliJP@JoeBiden@KamalaHarris ๐๐๐๐๐ kwa jinsi nilivyofatilia comments hakika mzee hupendwi seriously..yaani kama unataka kupima kwamba wananchi wanakuhitaji soma comments walau kwa uchache ๐ yaani watu wanakujibu tu kama wanamjibu Kibaka.. hawana hata heshima kwa rais wao (TAFAKARI KUNA TATIZO MAHALI)
@ProfHarryEnock @halimamdee@esteramosbulaya@jjmnyika Duuh katika watu ninawaamini pia wewe upo .sasa kama na wewe umesema aiseee hapa kuna tatizo na kama kina Easter na mdee hawahusiki watoke hadharani waseme kwa sauti zao au hata wajirecodi tu watume mtandaoni sisi tutaona unless otherwise wanahusika na hatutakubali.
@HildaNewton21 Nakushauri dada wewe tulia tu hakuna haja ya kupanic demokrasia inapiganiwa na kupigana kwenyewe ndo huku inafika mahali mpaka wenyewe kwa wenyewe mnaweza shikana mashati lakini kumbe kila mmoja amemhisi mwenzake kama anataka kwenda kinyume lakini kumbe siyo relax Dada Hilda
@bavichatanga Nyie bavicha ndo takataka kabisa nyie mnaweza ungana matawi hata kumi na msifike upambanaji wa kigogo.bora mgekaa kimya tu.kazi kulalamika mtandaoni tu kama watoto waliobemendwa badala mtoke kupambana kuhamasisha wananchi mpo tuu kutetea uovu.kama ester kazingua muache ale za uso
@RealHauleGluck @GilbertSixbert3 ๐๐๐Daah wee jamaa kweli upo kazini..yaani uanajitahidi kuwajua wafuasi wa chadema nini wanakijua kuhusu Umuhimu wa wabunge wa upinzani bungeni ๐ unataka uelewa wa wafuasi wa chadema๐ ili upeleke ripoti? Utawakamata hao hao ndezi siyo watu wenye akili kubwa. WEWE NI MATAGA!