Extra reading beyond your assigned coursework allows you to delve deeper into your field of study, enables one to explore emerging trends, gain +knowledge & stay updated with the latest research and industry dev. in ones field of study. Is TZ university students do so?
Vijana someni hii muielewe na kuifahamu: Posting zetu siku hizi zinaelekea huku na tusipojiangalia tutaishia mahakamani tukipata waelewa wa hizi sheria angalia post yako kabla hujashare na watu
@kamanzi_claudin You are very right on that always agriculture is technology and facilities to the large extent. Farmers has read and learn on daily basis, make use of Mkulima Collection and materials from Sokoine National Agricultural Library - SNAL as starting point - https://t.co/y6eSk5CnMx
Hongera wandishi na vyombo vya habari Tanzania Kwa siku hii ya uhuru wa habari. Changamoto yetu je tunaliangalia vipi suala la habari/taarifa kuwa ni bidhaa ya jamii (Information as Public Goods) maana jamii hatujaiangalia zaidi tumejikita kuangalia faida, tujitafakari!
@Aal_Moalim Thus, why Almighty Allah (SW) tells us there they belong to hell fire such kind of people, feel sorry for such action. But never give up find a solution to treat the land.
A school library isn't just a place to check out books. It's a hub for creativity, collaboration, and critical thinking. With access to technology, resources, and professional librarians, school libraries are essential for a well-rounded education!
@ihhinsaniyardim@ihhfatihkadin May Allah SW gives you more strength during this period in Sha Allah. My condolences. Inna lillah wΓ ina ilaihi Rajiuun.
Tungekuwa na vyombo vya habari Timamu wangetafuta nafasi usiku na mchana kuhoji Wabunge/Mawaziri,juu ya jambo kama la kodi.Kwa nini raia wa kawaida ndio anakodi lukuki na sio Mbunge/Waziri mwenye mshahara na posho nyingi.Lakini tizama content za local media ni habari za aibu tu.
We nominate all our followers to update their profile pictures with this poster in support of #WorldHijabDay 2023. Let's take a stand against discrimination faced by Muslim women and girls for wearing the hijab worldwide!
Nauliza vijana mlipokuwa form 6 mlitafuta paper shule zote mfaulu mitihani. Mlipokuwa vyuo vikuu power point ya mhadhiri ambayo ni 30% ya content ilitosha na hamkuijali 70% na sasa mmeingia mtaani mnasoma post ya mtu tayari mtu anakuwa mchambuzi wa mambo, tutatoka kweliπ€
@kabwelamkimya Bado ni changamoto kwa watoto kutembea umbali mrefu kuelekea shuleni, wazazi na jamii tunatakiwa kubadilika na kuona shule za karibu nazo pia ni zetu ni kuziboresha na watoto wasome comfortable. Sehemu nyingine watoto wanatembea hadi kilomita 15 kwenda shule hizo ni 30km.