Moja ya wapambanaji wenye MAPAFU ya kupambania HAKI nimewahi kukutana nao basi ni TWAHA.
Ameifanya kazi hii kwa muda mrefu sana bila kuchoka. Hata alipoamua kukimbia BONGO kujificha Kenya ni kwasababu ya kuendeleza MAPAMBANO.
Leo hii siku ya 19 tangu atekwe KENYA tusiache kusema #FreeTwahaMwaipaya Kila siku bila kuchoka kama ambavyo yeye HAKUCHOKA.
Ukishindwa basi Repost jumbe hizi tuendeleeze mapambano.
#FreeTwahaMwaipaya
Mtu mmoja tu anaamua kuzima internet nchi nzima!!
Utawala wa aina hii ndio tunaukataa na kuupinga.
Nchi haiwezi kuendeshwa kwa mood na hisia za mtu mmoja.
Wewe Msigwa unataka kucontrol CNN kama unavyocontrol leseni za online tv za Tanzania? Au unafikiri hilo ni gazeti unalotaka kufunga wakati wowote unaotaka?
Hao ulioenda kuhutubia hapo wamekuuliza mliua watu wangapi?
Je wamekuuliza kwanini hamjawapa Watanzania miili ya ndugu zao wakazike?
Wamekuuliza kwanini mlimpiga mama mia mzito risasi ya mgongoni?
Wamekuuliza kwanini majeruhi wamechukuliwa wakiwa wazima na kupelekwa Mortuary?
Unafikiri CNN, BBC, Al Jazeera wataachq kufanya kazi yao kwasababu wewe hupokei simu au haujibu msg?
Kwanini Leo haujawaalika CNN ili wapate nafasi ya kukuuliza maswali ujibu?
Wenye nia ovu ni nyie wauaji sio watu wanaoanika uovu wenu.
Ukatili wenu huu hamtaweza kufunika, kwa lolote.
Watanzania wa sasa sio wajinga.
MAONO YAMETIMIA!
Maono ya Raisi wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt, Samia Suluhu Hassan, yametimia. Mfumo wa #mmama sasa unapatikana mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar.
@ortamisemitz @wizara_afyatz