Unapokuwa unasali usiache kumwambia Mungu akukutanishe na watu wako sahihi, akukutanishe na DESTINY HELPERS wako. Kuna baadhi ya vitu vinachelewa kutekelezeka katika maisha yako kwasababu bado hujakutana na watu wako sahihi wasaidizi wa kusudi lako.
@Momo96085058@millardayo Wewe na nani?
Hata kama kashiriki ukombozi wa bara la africa kitendo chake cha kuvamia nchi nyingine na kuua raia wasio na hatia ni unyma ulipitiliza na wote wanomuunga mkono wana roho hihizo.