Vijana wengi tukipewa dhamana na cheo na tukawa tuna aminika na alietupa dhamana , huwa kuna dhana ya KUJISHAU. Yaan unaona uneshapatia kila kitu. Ghafla mwenye kakupa dhaman anagundua unafanya madudu. Akikutoa unaanza lalamika hakupendi ooh majungu. Kumbe shida n ww mwenyewe