@TunduALissu Amelibeba kusudi la Mungu kwenye Nchi ya Tanzania.
Hakuna atakaeweza kumzuia, hadi pale kusudi la Mungu litimie kwenye Nchi hii. Yeyote atakaejaribu kumzuia Mungu atashughulika nae.
Mbogamboga mnaona tunavyopasuana? Sisi hatuna cha ndio mzee. Tulipasua Mbowe tukamstaafisha siasa za udalali. Mimi nikizingua nitakaangwa ipasavyo. No one is above the program. Lissu atatoka jela ila sio kwa kumpigia magoti au kumpakaa rangi Samia muuwaji. Hatutarudi tulikotoka.
👉Watu wana matumaini sana na Samia! Ngoja niwaambie kitu ambacho hamjui, CCM linapokuja suala la madaraka wanakuwa hawana akili na wajinga kabisa
👉Samia hana maajabu yoyote as long as katiba ni ile ile na mifumo ya nchi ni ile ile
Jipangeni kuwa disappointed tena🤣🐒
@MsokeRajabu@DMadambo@DaimuManafi Anaewahoji maswali ni Tundu Lissu maswali yake ndio yatakuwa yanaamua majibu, na unajua hawezi uliza swali ambalo jibu lake linamfunga.
@DaimuManafi Mh. Lissu :haya waambie majaji nani likua order ya kutangaza lock down oct 29.
Waeleze majaji hiyo kazi maalum uliyotangaza inayoanza usiku ni ipi?
Haya waambie majaji nani alitoa amri ya shoot to kill?
Waambie majaji,mmekamata watu wangapi waliobeba silaha na kuua watu mitaani?
Wakati wa committal Tundu Lissu aliwataja mashaidi wake, kila mtu anajua kuwa hakimu aligoma kuwaorodhesha akidai atawataja mbele ya safari.
Mahakama kuu sio kwamba haijui kuhusu hili, lakini nayo imegoma kuwaita mashaidi wa Lissu kwa kigezo hawakutajwa wakati wa committal
Kuna uhuru wa muhimili hapo?
Kwamba sina adabu kwasababu ya kusema Mbowe ni malaya wa kisiasa, basi sawa mie sina adabu kabisa ila nilichosema ndo ukweli ambao kila mtu anaujua.
Nashukuru Mungu nilikuwa miongoni mwa watu ambao tulimsapoti Mhe. Lissu katika kuhakikisha Malaya wa kisiasa harudi kuongoza Chama chetu maana kama angeshinda Uenyekiti ile siku, sasa hivi CHADEMA yote ingekuwa kwenye brazia ya Nduli Idd Amini Mama.
Dr. Conrad Agonza amepata dhamana baada ya kufikishwa Mahakama ya Kinondoni muda huu kwa kupitia hati ya dharura.
Tunapenda kuwataarifu wanataaluma kuwa yuko salama kiafya.
Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kinatoa shukrani kwa mamlaka zote za Serikali (1/3)
‼️🚨DR AGONZA HALI MBAYA SANA - ATOLEWE LEO AU MGOMO UANZE‼️
Jamani uongozi wa @MuhimbiliTaifa na @mamcmloganzila msikae kimya tena
Nimethibitisha kuwa Dr Agonza anatokwa na damu sana na anaweza kuwa na majeraha makubwa ya ndani inayoweza kumwua!
Nyie ndo madaktari si mimi mnajua internal bleeding inaweza kuua! Acheni woga na waambieni polisi wamtoe sasa hivi IMMEDIATELY!
Otherwise MAT watangaze mgomo wa polisi na familia zao NCHI NZIMA!
Huu ni unyama na kama wangekuwa na kesi wangemfungulia mashtaka!
I have been informed that Dr Agonza may be suffering from life threatening internal bleeding and is bleeding everywhere profusely! This is an EMERGENCY 🆘
The police need to release him for medical care at a proper hospital!
#FreeDrConradAgonza
Upumbavu eti askari utaogopwa sababu ya uniform ni wa kitambo.
Watu wanapitia mengi na level ya tolerance haifanani.
Tuheshimiane.
Wakati wa maandamano kuna askari alivua nguo na viatu akaukana uaskari.
Aalafu polisi kwanini mnataka muogopwe? Sababu ya sialaha?
Jiangalieni!