Ile album yenu pendwa kabisa ya Niko bize sasa inapatikana boomplaymusic_tz .. Ni wakati muafaka kabisa nenda sikiliza na udownload pia kwa link hii na kwenye bio ya @jaffarai… https://t.co/TOAmR4PQdJ
Kutoka kwenye ile familia yetu kubwa YA MUDA WOTE kwenye muziki Tanzania (BONGO RECORDS) nawakumbusha kuwa watu hawa watatu @fidq@jaymoefamous na @jaffarai album zao ziko boomplaymusic_tz tafadhali kachukue na… https://t.co/CpdjJne3GV
'Wakati unatoka wimbo wa Niko Bize nilitafuta sana Jaffarai, Nilimtafuta sana nikampata baada ya kuperfoam Kunduchi aliposhuka kwenye jukwaa na ilikua saa nane usiku, Hio ni kuhusu Niko Bize ya @jaffarai ' - @TZMsemajiMkuu LIVE on XXL.
UKO BIZE?!
UKO JOB?
UMEBONYEA HOME HUNA MPANGO WA KUTOKA?
Njoo inbox utupe bei za mtaani kwako na tutakuletea kwa bei ile ile. Ishu za usafiri usiwaze..!
Fresh & Good Quality ndio mpango wetu.
https://t.co/1c2uTG67Kc
Ile album yenu pendwa kabisa ya Niko bize sasa inapatikana BoomPlay.. Ni wakati muafaka kabisa nenda sikiliza na udownload pia kwa link hii na kwenye bio yangu pia https://t.co/DBNeq0mLLK
https://t.co/SXGiuchp6R
Sio kwenye magari tu.. hata kwenye mambo ya ujenzi tunahusika pia yani likija swala la usafi lazma tuhusike kwa namna yeyote ile... https://t.co/GweSzpRWVm
"Nilimwambia @Roma_Mkatoliki unarap kama @MwanaFA kwa hiyo tengeneza stail yako tofauti itakayokutambulisha.
Mimi nilimshauri vizuri na anatakiwa anishukuru kwa kuwa nilimrekebisha akaufanyia kazi ushauri. Hata hivyo ninamkubali kwa kazi anazozifanya" @jaffarai#PlanetBongo
#PlanetBongo
HESHIMA YA BONGOFLEVA
Tupo 'live' na @jaffarai kutoka kundi maarufu la Wateule na tunapiga naye stori za kitambo na ngoma kali za Bongofleva.
Tupia 'comment' yako kwa lolote unalotaka kufahamu kwake au kwenye mziki wa kitambo.