@Sirajitz1 Snorkel Umuhimu wake ni kwamba Engine itaweza kuvuta hewa baridi ya oxygen na high density. Hii inasaidia uchomaji wa mafuta kwa kiwango sahihi na kuipa engine nguvu ya ziada. Pia engine itaweza kuvuta hewa pale ambapo gari imezama kwene maji ya kina kirefu.