Ile Press ya Father Kitima ya juzi ali~mention way forward 3 zinazopaswa kufanywa!!
Aliongea vizuri sana ๐ ๐
Wahusika wa oct 29
1. Kwanza wakiri walikosea
2. Pili waombe msamaha
3. Tusameheane tusonge mbele.
Lakini sijui kwanini kipengele cha #Kuwajibika kinakuwa skipped.
Yani baada ya kukiri na kuomba msamaha kwanini kipengele cha #Adhabu kinarukwa?๐ค
Wasiwasi wangu ni kwamba muhalifu anaweza kiri kosa na akaomba msamaha, lakini akaja akarudia tena!!
Kwanini kabla ya kusameheane tusiwajibishane kwanza!?
Katika historia ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna kesi kubwa tano (5) zinazohusika na mashtaka ya uhaini zilizowahi kufikishwa na kusikilizwa katika Mahakama za Tanzania. Nitawapitisha
1.Kesi ya Uhaini ya 1970 (Tanganyika)
Walioshtakiwa walituhumiwa kupanga njama za kuipindua serikali ya awamu ya kwanza iliyokuwa inaongozwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ili kumrejesha madarakani Oscar Kambona
Katika Kesi ya Uhaini ya mwaka 1970 (Republic v. Grey Likungu Mattaka and 6 Others), jumla ya watu 7 walifikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka ya kupanga njama za kuipindua serikali
Upande wa mashtaka uliwasilisha mashahidi 22 na vielelezo 118. Barua, kanda za sauti (tape recordings), nyaraka za kibenki zikionyesha miamala ya kifedha iliyodaiwa kutoka kwa Oscar Kambona
2.Kesi ya uhaini ya 1973/1974 (Zanzibar);
Kufuatia mauaji ya Rais wa Kwanza Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume, 07 Aprili 1972. Abdulrahman Mohamed Babu na wenzake 80 walishtakiwa. Kesi hii ya uhaini ilikuwa na mashahidi zaidi ya 50
Mashahidi walihojiwa mbele ya Mahakama Maalum ya Zanzibar. Mahakama ilitoa hukumu ya kifo kwa washtakiwa 34 (baadhi wakiwa mahakamani na wengine in absentia, akiwemo Babu)
Nyerere alikataa kuwarejesha Zaโbar akihofia wangenyongwa bila kupata ya kusikilizwa. Ushahidi mkubwa ulitegemea maelezo na nyaraka za kiusalama zilizokamatwa wakati wa msako
3.Kesi ya Uhaini ya 1983โ1985 (Tanganyika)
Kesi hii ni kufuatia jaribio la mapinduzi ya kijeshi lililoshindikana Januari 1983 dhidi ya iliyokuwa serikali ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Kesi iliendeshwa mbele ya Jaji Nassor Mzavas
Washtakiwa walikuwa ni Kapteni Hatti Maghee, Kapteni Christopher Kadego, Kapteni Vitalis Mapunda, Zacharia Hans Pope, Pius Lugangira (Uncle Tom) na raia kama Christopher Ngaiza
Kesi hii iliweka rekodi kwa kusikiliza mashahidi 133 na kuwasilisha vielelezo 225, ikijumuisha silaha, ramani za kijeshi (ikulu na uwanja wa ndege), zana za mawasiliano (radio za upepo, nyaraka za siri
4.Kesi ya Uhaini ya 1997โ2000 (Zanzibar)
Viongozi na wanachama 18 wa CUF walikamatwa na kushtakiwa kwa kosa la uhaini, wakituhumiwa kupanga njama za kuipindua Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar chini ya Rais Salmin Amour
Kesi hii haikufikia hatua ya kusikiliza mashahidi au kuwasilisha vielelezo mahakamani. Mchakato uliahirishwa mara nyungi miaka mitatu (1997โ2000) kupisha upelelezi na mabishano ya kisheria
Novemba 2000, kabla ya mashahidi wa Jamhuri kuanza kutoa ushahidi, Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) wa Zanzibar alitumia mamlaka yake kisheria kufuta mashtaka yote (nolle prosequi)
5.Kesi ya Uhaini ya 2025-2026 (Tanganyika)
Katika kesi inayomkabili Tundu Lissu, upande wa Jamhuri unadai kauli alizozitoa kuhusu kuzuia uchaguzi zililenga kuvuruga uendeshaji wa uchaguzi na kupindua au kuzuia mamlaka ya Serikali
Kesi inasikilizwa Mahakama Kuu Tanzania (Masijala ya Dar es Salaam) chini ya jopo la majaji watatu wakiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru, Jaji James Karayemaha na Jaji Ferdinand Kiwonde
Upande wa Jamhuri ulipanga kuleta mashahidi 30 na vielelezo 11. Hadi wanafunga ushahidi wao, Jamhuri hawajaleta kielelezo chochote katika kutetea ushahidi wa mashahidi wao hao 17
Kielelezo cha upande wa Jamhuri ilikuwa ni video kutoka โJambo TVโ Tundu Lissu akizungumza hadharani na watia nia CHADEMA. Kielelezo hicho kilikataliwa na Mahakama Kuu ya Tanzania
Maajabu katika kesi hii ya uhaini
Tundu Lissu anashtakiwa pekee yake katika uhaini. Tundu Lissu anashtakwia kwa kusema maneno bila kula njama na vitendo. Hii ni mara ya kwanza kwa kesi ya uhaini kuwa na mshtakiwa mmoja
Ili mahakama iseme kuna kesi ya kujibu, sheria inataka upande wa mashtaka uwe umeweka msingi thabiti unaoonyesha vipengele vyote vya kosa (ingredients of the offense) vimetimizwa
Tusubiri hiyo 21 August 2026, Jopo la Majaji litaamua nini. Kama kutakuwepo na kesi ya kujibu (Prima Facie Case) tutashangaa sana. Tutasubiri kusikia wametumia misingi gani ya kisheria
MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
Story ya Kibiti aliyotoa Farhan Kihamu wa Clouds Media, naye pia Farhan Kihamu alicopy kutoka kwa master mwenyewe anaitwa Fortunatus Buyobe.
Iko hivi kipindi, mimi nilikuwa napenda mambo ya Serikali maana ndio Magufuli alikuwa ametia timu. Ile ishu wali-solve Usalama ambao ๐๐
Jamuhuri imejichanganya kwa kumshitaki lisu kwa Uhaini huku ikitumia maneno ya Lissu kuwa โTUTAFANYA UASIโ kama ushaidi kwa kesi ya Uhaini
UASI na UHAINI ni vitu viwili tofauti katika jicho la sheria
Uasi (revolt) ni KUIPINGA serikali
Uhaini (Treason) ni KUISALITI nchi
Note, Nchi si Serikali na Serikali si Nchi
Leo, imekuwa dhahiri kabisa kuwa, Jamuhuri ilikuwa ikiendesha kesi hii kwa danadana za kuiba muda jambo lililozidi kumtesa Lissu mahabusu.
Jamuhuri ilikuwa ikifanya hivi kwa kupeleka mahakamani shahidi mmoja mmoja kila kesi ilipoitwa na saa nyingine Lisu alikuwa anamaliza cross- examination na mashaidi hao saa 5 mchana muda wa kazi wa mahakama ukiwa bado ukitosha kwa shaidi mwingine kupandishwa kutoa ushaidi ili kuokoa muda na mateso ya Lissu.
Lissu akalikemea hili vikali mbele ya majaji na kuwaambia waziwazi kuwa jamuhuri inaidharau mahakama kwa kuwa inajua haina cha kuwafanya.
Ijumaa Jamuhuri ilitoa sababu ya kutomfikisha shaid wao mahakamani kuwa alipatwa na dharula ya kiafya.
โPontius Pilatesโ wakaishia tu kubungโaa kama wanasoma talaka(Namuomba Mungu, huu mwandiko wangu usipate uzito wa contempt of court)
Anyway, Jamuhuri ikaiomba mahakama kuwa leo itamfikisha shaidi huyo pamoja na mashaidi wengine wote waliobaki
Leo kwa shambulio la ghafla, Jamuhuri ikatangaza kuwa haina shaidi mwingine yeyote wa ziada bali ilikuwa ni โdanganya toto kula kunde mbichiโ
Badala yake Jamuhuri ikaeleza kuwa imefunga ushaidi wake lakini kwa guilty conscience ya njia ya Golgota waliyompitisha Lissu, kimaaajabu kabisa katika historia ya criminal proceedings, jamuhuri ikataka kuwahi stand bila nauli
Eti kwa ushaidi wake iliyowasilisha mahakamani ni kama inaona isijielekezee shingo yake kwenye ala ya motion ya prima facie case
Technically ni kama State Attorney alitaka kukwapua majukumu ya DPP ya โNolle prosequiโ yaani kesi iishie hewani bila Lissu kujitetea then kungepatikana political leverage ya jinsi Gavoo ilivyo sikivu na huruma kwa Toto Tundu na pia inakuwa imereconcile na ultimatum ya international community.
Toto Tundu ni Kama akalishitukia bao la mkono alilotaka kufungwa.
Lissu akaja juu kuwa wa kuongelea hoja ya prima facie case ni yeye na hataki mpira kwa kwapani.
Kuwa haiwezekani umshitaki, upeleke mashaidi kisha wewe mwenyewe ndio uwe una hoja ya kuona mshtakiwa ana kesi ya kujibu au kutojibu.
Lissu akaurudisha mpita ulingoni kwa kifungu cha sheria No 312(1)
Akasema yeye ndiye master of ceremony wa kuwaambia majaji kuwa kwa utopolo uliojazwa mahakamani hana kesi ya kujibu
Yaani ni kama Lissu analazimisha iwe on record kuwa hana kesi ya kujibu sio kwa hisani, bali on merit ili atokee kwenye milango ya Ukonga na sio Tungu
Sasa mpira Lissu keshaurudisha dimbani. Naamini mpaka tarehe 21 kutakuwa na simu chache kati ya pale jirani na Kipunguni A, Pale jirani na ofisi ya taifa ya Takwimu, na pale panaponuka shombo la samaki vibua wakijaribu kutumia โresidual/ filtrateโ best in their possession kuona wanafunikaje pale manyu mwa kuku mbele ya huu upepo mkali?
Great afternoon Daughters and Sons of the abattoir
Itโs natural to feel broken if youโve been treated badly or been the subject of rumours etc. But remember, some things are not within your control. Turn every anxiety, fear and concern into a supplication. Look at it as another reason to submit to the Almighty. Let Him take over.
Nimechukua muda kutafakari uliyoyasema @nchimbie sasa acha nikujibu:
Leo umeonyesha uungwana kwa maneno maana umesema kuwa uanaharakati si uhasama - na ulinitaja kabisa pamoja na kwamba ninajua kuwa jina langu akilisikia kimama chenu anakasirika - so clearly umeonyesha ujasiri kuliko wana CCM wenzako huko ndani! Sad that we have reached so low!
Pia kuongelea Haki na kukubali hakuna Amani bila Haki na kutaka wanaharakati walindwe na kugusia kesi za kubambika na kutaka watu waachiwe ni jambo jema sana
Mwisho umetumia muda kuongelea Katiba Mpya na kutaka tupambanie
Kwa maneno haya mazuri umefanya jambo jema na wapo wengi ambao wamepata matumaini maana wamechoka na chokochoko zenu CCM na kimama chenu kutwa kuwinda na kuumiza watanganyika!
Sasa baada ya haya nataka ninyooke na mambo kadhaa maana mi si mnafiki
Kwa kifupi maneno mazuri hayatoshi kwa hapa tulipofika maana hata Samia alikuwa ana kauli positive na 4R zake ila I was not impressed!
Kwa sababu mi nathamini matendo!
๐๐ฝ Kuna sheria zaidi ya 40 ambazo ni kandamizi na ktk sekta tofauti zinatumika kutuadhibu na kutuumiza katika harakati zenu za kutunyamisha hii ni pamoja na sheria za Cybercrime, Takwimu, Ugaidi, uhujumu uchumi, Statistics law, NGO law nk
Bila kufuta hizi sheria mtaendelea kutupa haki zetu kama hisani - FUTENI
๐๐ฝ MO29 hatuwezi kuweka kando na kuongelea KatibaMpya na Maridhiano bila kwanza kukabili hili DOA kubwa! Watu waliuwawa, damu ilimwagwa kwa hiyo LAZIMA waliohusika wawajibishwe na tuambiwe ukweli - nani alihusika, miili iko wapi nk. Wewe ni mnufaika wa mauaji haya - sasa kama utaonyesha ujasiri kukubali na kuhakikisha Haki na Ukweli unapatikana hakuna mtu atakuwa na mashaka na uwezo wako kama kiongozi!
๐๐ฝ Katiba Mpya tunautaka ila kwa mazingira ya sasa na bunge hii hapana hatuwezi kupata Katiba Bora - so turudi kule kwenye serikali ya mpito! Rais haramu anataka hataki - we donโt care! Katiba ni Yetu wananchi! Hatusubiri mtupatie! Ila tutafurahi mkikubali kushiriki tukiwa wote sawa na si ninyi kama watawala
๐๐ฝ Una uwezo hata leo kuhakikisha Lissu anaachiwa na vijana na lecturers waliopewa ugaidi wanafutiwa kesi hata kesho! Wote waliotekwa kabla na baada ta MO29 akina Mdude, Polepole, Soka nk tuambiwe hatma zao na waliohusika kisha wawajibishwe wote! Mi NINAJUA ukiamua unaweza - so do it!
๐๐ฝ kuhusu wanaharakati - hakuna hata mmoja wetu aliyeamka na kuamua kuwa mwanaharakati! Sote tulikuwa na kazi zetu ila tuliamua kutokaa kimya kwa sababu ya dhulma! So hili si suala la sisi kujuana au kutojuana - tuamue kwa pamoja kuwa tusikubali tena mtu awindwe kwa sababu ya utofauti wa kimawazo - hata akikutukana usitumie wadhifa wako kumkomoa! Kila mtu ahakikishiwe usalama na walio nje wakiamua kurudi wasibugudhiwe! Hii isiwe hisani au ishu ya kujuana!
Mwisho kabisa mi nina trust issues na CCM maana nawajua kama vile nimewazaa!
So kujenga imani tunahitaji VITENDO zaidi kuliko maneno!
Mungu akupe uwezo wa kunielewa na kufanya yote
All the best!
Ifikapo saa tisa mchana kwa siku tisa mfululizo, usali sala hii kwa imani. Mwombe Mungu avunje kila kikwazo, afungue milango ya baraka, akupe ushindi, na akuinue katika kila jambo unalolifanya:
Ee Mungu Mwenyezi, kwa jina la Yesu Kristo, navunja kila nguvu inayopinga maendeleo yangu. Fungua milango ya baraka ambayo hakuna awezaye kuifunga. Ondoa kila kikwazo, aibu na kuchelewa katika maisha yangu. Nipe kibali, ushindi na neema katika kazi, biashara, masomo na maisha yangu. Naamini hakuna lisilowezekana kwako. Amina.
Isaya 54:17
"Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa; na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa." ๐
If it happens that I die tomorrow, keep the same energy and attitude you have with me today when I'm alive. Don't try to show too much love when I'm dead, it will be too late for that.
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐
(A Must Read Thread)
Itโs traditional that we always start with greeting:-
โUmuofia kwenu sons and daughters of the abattoirโ
Yes!
Tutaandika kwa kuwa ndio silaha pekee tuliyo nayo.
Kupitia shauri la kikatiba No. 7300/2006 linaloendelea katika mahakama kuu, masijala ya Dar Es salaam, Tundu Antipas Mugway Lissu amezidi kujidhihirisha kama mchawi wa sheria โLaw Sorcererโ
Ifahamike kuwa, Lissu ni specialist wa โEnvironmental Lawsโ taaluma aliyokuwa akiitegemea kumpatia mkate wake wa kila siku kabla mambo hajambadilikia alipoamua kujiingiza kwenye siasa za upinzani nchini.
Kupitia misukosuko anayoipata kwenye siasa, Lissu ameweza pia kuuthibitishia umma uwezo wake mwingine kwenye Criminal and Public Laws.
Kwenye Criminal Laws, Lissu ameweza kuonesha uwezo wake alipowatetea wamiliki wa @JamiiForums akilinda sera za faragha za mtandao huo. Kesi hiyo ilikuja kuzaa sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi.
Mwaka 2011, Lissu alijikuta akisota rumande wilayani Tarime mara baada ya mauaji ya wananchi wanne ambao ni Chacha Ngoka wa kijiji cha Kewanja, Emanuel Magige wa Nyakunguru, Mwikwabwe Marwa na Chawali Bhoke wa Mugumu.
Wananchi hawa waliuwawa kwa risasi za polisi waliodai kuwa marehemu walivamia eneo la mgodi wa Nyamongo. Katika sakata hili, Lissu alijikuta akichaniwa nguo na kuwekwa makwaya.
Kwenye Criminal Law, nyayo za Tundu Lissu ni nyingi zinazoweza kuwachosha kwani hadi niandikapo, Lissu yupo mahakamani akijitetea kwa kesi ya uhaini.
Kilichonilazimu kuinua kalamu yangu leo, ni masterpiece cross-examination ambayo Lissu amemfanyia jana mkuu wa Gereza la Ukonga anakoshikiliwa hadi sasa.
Jana, Lissu amefanya nimvulie kofia nyingine kwenye issues za Public Laws ambayo hujumisha Constitutional na Administrative Laws.
Kwa jicho la kisheria, jana Lissu amefanikiwa kuivunjavunja credibility ya ACP, Andrew Shabani Ntamamiro, Mkuu wa Gereza Ukonga,
ACP Ntamamiro, kwa kuchanganyikiwa na madodoso yaliyokuwa yakimpandisha na kumshusha, alijikuta nyakati nyingine akijicontradict, akikili uongo wake na nyakati nyingine kwa kupitiwa, mkuu huyu wa Gereza alionesha wazi kuwa hana liability yoyote ya kufata orders za mahakama jambo ambalo liliwalazimu majaji kuwa wakali dhidi yake na kutaka kutunisha misuli ya muhimili.
Tuanze kwanza na sababu za kesi hii ya kikatiba.
Msingi wa kesi hii ni malalamiko aliyokuwa akiyatoa Lissu kwenye kesi yake ya uhaini
Kuwa, ananyimwa haki yake ya usiri (confidentiality) anapokuwa akiwasiliana na mawakili wake kinyume cha sheria. Hapa Lissu alieleza jinsi mkuu wa gereza la Ukonga alivyokuwa akitoa maelezo kwa wasaidizi wake, kusikiliza maongezi ya Lissu na mawakili wake kila waendapo kumtembelea gerezani.
Pili Lissu anadai kunyimwa haki yake kuonana na kuwasiliana na baadhi ya mawakili na viongozi wengine wa chama chake. Kuwa Mkuu wa gereza Ukonga amekuwa akiwajibu watu hao hawapo kwenye orodha ya watu ambao Lissu aliorodhesha wamtembelee kinyume cha sheria.
Hapa ndipo nilipoushangaa zaidi utulivu wa Tundu Lissu katika kupanga mikakati ya kesi yake.
Ni kwamba Lissu alihakikisha anaielezea mahakama wazi juu ya kunyimwa haki hizi katika kesi yake ya uhaini.
Hapa Lissu hakujali kama orders ambazo mahakama zitaitoa kwa Jamuhuri zitatekelezwa au kutotekelezwa. ( kwa kuamini kuna muhimili unaohisi umejichimbia zaidi)
Lissu alichojali ni madai yake tu kuwa โon recordโ kwenye mwenendo wa kesi yake ya uhaini.
Baada kuhakikisha hilo limefanyika, Lissu akajikita kwenye kukusanya ushaidi usio na chembe ya mashaka.
Hapa Lissu akakusanya orodha ya wageni wote waliomtembelea mahabusu, pamoja na maoni ya mkuu wa gereza aliyokuwa akitoa kwenye majina ya wageni wale.
Maoni mengi yakitoa sababu ya kuzuiwa kumuona Lissu, na mengine yakielekeza mazungumzo ya Lissu yafuatiliwe kwa karibu.
Ni vyema sasa tukianza kujiongoza kwenye mahojiano kati ya Lissu na mkuu wa gereza ili kuona jinsi ubongo huu ulivyobarikiwa kipaji cha hali ya juu cha taaluma ya sheria.
My ex offered me $500,000 to give up custody without a fight. I signed the papers. The judge looked shocked. Then my lawyer stood up and said, "Your Honor... please turn to page 14."...
Amka saa nane za usiku kwa siku saba mfululizo, kisha usali sala hii kwa imani. Mwombe Mungu avunje kila kikwazo, afungue milango iliyofungwa, aondoe kila kinachozuia maendeleo yako, na akupe kibali mbele zake na mbele za watu katika kila jambo unalolifanya:
Ee Mungu Mwenyezi, ninakuja mbele zako kwa jina la Yesu Kristo. Naomba uvunje kila kifungo, uondoe kila kikwazo, na ufungue kila mlango uliofungwa katika maisha yangu. Niongoze katika njia zako, unipe hekima, nguvu, na neema ya kushinda kila changamoto. Nibariki kazi za mikono yangu, unipe kibali katika kazi, biashara, masomo na mahali popote nitakapokwenda. Uniongoze kwenye mapenzi yako, na mapenzi yako yatimizwe katika maisha yangu. Naamini hakuna lisilowezekana kwako. Amina.
Isaya 45:2
"Nami nitakutangulia, na kupasawazisha mahali palipoparuza; nitavunja milango ya shaba, na kuzikata-kata mapingo ya chuma."
Walimu walikua wanatakiwa walipwe basic sallary kama Laki 8 kwa mwezi lakn wapewe Nyumba ya Kulala yenye umeme na mahitaji yote ya muhimu kama maji. Na kama kuna uhitaji wa usafri wapewe usafiri Bure la sivo Nyumba za walimu ziwe karibu na shule. Kwa hali iyo Lak 8 inatosha kabisa mwalimu hana ata haja ya kupiga boda boda.
Ila Kwa apa Mjini Lak 8 mshahara wa mwalimu anatokea nyumba ya kupanga, apande daladala kwenda kazini, kurudi.
Afu mnategemea muwe na ELIMU BORA, huku mkiwaambia walimu wajiongeze kwa kupiga boda boda na kufanya uwinga.
Apa Tutakua tunawapeleka watoto shule wakakue tu.
Ukienda Hospital ya MOI, asilimia 90 ya wagonjwa walovunjika MIFUPA, VIUNO na MIGUU, (wenye umri over 60 yrs) walindondoka kwenye nyumba zenye TILES, either chooni or whatever.
Na wengi wao ni wazazi au bibi/babu walotoka Vijijini kuja kusalimia watoto wao Dar es Salaam.
Vijana wengi wanauguza wazazi na bibi zao MOI sababu ya TILES. ๐ ๐