SUMA JKT tujifunze toka SAMSUNG kuikomboa #Tanzania kiuchumi. (Thread)
Tunaposherehekea miaka 60 ya JKT tunajivunia umahili na uadilifu unaoendelea kuwepo katika Jeshi letu la Kujenga Taifa pamoja na ubunifu wao katika SUMA JKT.
Pumzi pekee ikipotea ndio hairudi, Ila hizi ups and down kwenye maisha zipo, Tumeshapoteza vitu vingi ILA kwa mapenzi ya MUNGU tunaishi na tunafuraha
Kwa mapenzi ya MUNGU tunafutwa machozi tunapata zaidi ya tulivyopoteza
Ishi sasa maisha ni zawadi kutoka kwa MUNGU
#SavageBeauty Is likely the most Dramatic, African, Black, Crime, Family series well produced series of our time. Well done the Cast, @Quizzical_P and @NetflixSA 👏👏👏🎩
Thamani ya maisha hupatikana kwa jinsi unavyoishi. Thamini kila punje ya maisha yako, na uyasherehekee kwani thamani yake hupatikana kwa jinsi unavyoishi.
Mwisho wa siku, walisema kuwa kinachojalisha siyo idadi ya miaka utakayoishi, bali maisha uliyoishi kwenye miaka hiyo.
Naibu waziri wa nishati na madini, Judith Kapinga amethibitisha kuwa ifikapo March 2024 , tatizo la mgao wa umeme litakua limeisha nchini. Naibu waziri ameyazungumza hayo akiwa bungeni Dodoma hii leo. #TanzaniaUpdates
BREAKING NEWS : Alexei Navalny, kiongozi wa upinzani nchini Urusi ambaye aliandaa maandamano dhidi ya serikali na alikuwa mkosoaji maarufu wa Rais Putin, amefariki dunia akiwa gerezani akiwa na umri wa miaka 47. #TanzaniaUpdates