Utoaji wa mafunzo kwa Jeshi la Polisi ni moja ya nyenzo zinazoliwezesha kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya kiteknolojia, kiuchumi na kisiasa duniani katika kuimarisha usalama wa raia na mali zao. Ni kwa muktadha huo leo nimefarijika kuhitimisha Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi ya Kozi Namba Moja ya Mwaka 2025/26 jijini Dar es Salaam, ambapo wanafunzi 719 wamehitimu.
Ulinzi na usalama wa nchi yetu ni jukumu la kila mwananchi. Hivyo, nimesisitiza umuhimu wa wananchi kupewa elimu ili washiriki kikamilifu katika kubaini na kutoa taarifa za viashiria vya uvunjifu wa amani kupitia Polisi Jamii.
Mbali na kuwapongeza wahitimu, nimeeleza kuwa tija ya hatua zinazochukuliwa kuboresha Jeshi la Polisi itapimwa kwa kuangalia matokeo katika maeneo manne:
1. Matumizi ya rasilimali za Jeshi la Polisi katika kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao.
2. Uzingatiaji miiko ya Jeshi la Polisi katika utendaji kazi.
3. Imani ya wananchi, sekta binafsi na jumuiya ya kimataifa kwa Jeshi la Polisi.
4. Uwezo wa kutambua viashiria vya uhalifu mapema iwezekanavyo.
The more you invest in a woman, the more likely she is to cheat on you because it's in a woman's nature not to value and respect a man who overplays his role in her life.
But men will never hear that because they believe money can buy a woman's loyalty, but at the end of the day, simps are bound to eat dust, which is the joy of nature.
And as a man, always keep in mind that the process of cheating is too long to be a mistake.
Before a woman cheats on you;
• she thought about the deed
• texted the guy for a while
• spoke ill about you
• sent him her nudes
• used your money for tfare to his place
• during the sex, his dick slipped out, and she put it back in with her hands, calling him daddy
• after everything, he came inside of her to mark his territory
After being caught, it's in a woman's nature that they use their crocodile tears to get you where they want you to be emotionally because emotional blackmail is their weapon.
Always remember;
She's not sorry because of the act but because she was caught in the act.
She placed a bet against your love, trust, manliness, and self-respect, hoping her tears would make up for it if she eventually gets caught.
The more reason you should never forgive a cheating woman.
Video
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi jijini Dodoma, leo Jumatatu tarehe 26, Mei 2025.
#KazinaUtuTunasongaMbele
#SafariyaUshindi2025
UTEKELEZAJI WA ILANI - UBORESHAJI WA HUDUMA ZA AFYA
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kutekeleza kwa vitendo kupitia Ilani ya CCM kwa kuboresha huduma za afya ya msingi nchini.
Hadi kufikia Aprili 2025, Serikali imeongeza idadi ya vituo vya kutolea huduma ya afya ya msingi kutoka 6,081 hadi 7,713, ikiwa ni ongezeko la vituo 1,632 sawa na asilimia 26.80.
Kati ya vituo hivyo zipo Zahanati 1,158, Vituo vya afya 345, Na Hospitali za Halmashauri 129.
Haya ni mafanikio ya kujivunia kwa kila mpenda maendeleo ambapo mafanikio haya yanaakisi dhamira ya Chama Cha Mapinduzi ya kuwahudumia wananchi kwa karibu.
Wajumbe wa CCM, twendeni Dodoma kwa ari na mshikamano kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa CCM – tukashuhudie uzinduzi wa Ilani mpya ya uchaguzi!
#WajumbeTukutaneDodoma
🔰CCM NAMBA MOJA
Wajumbe Karibuni Dodoma, Tukamshuhudie Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa Tarehe 29-30 Mei 2025 Katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre
🔰KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE