Picha mbalimbali kutoka katika maadhimisho ya kitaifa ya Siku ya Vijana Duniani, yaliyoandaliwa na Baraza la Vijana CHADEMA @bavicha_taifa leo, Agosti 12, 2026, Mkoani Dodoma.
Maridhiano ya kiwa ni makubaliano ya viongozi wa juu peke yake na yakafanyika bila ushiriki wa vyama vya upinzani wa kweli na asasi za kiraia,
Hakutakuwa na mabadiliko yoyote mambo yatakua ni yale yale yana endelea