Lala salama, Angel.
Ulikuwa mtoto.
Ulikuwa na ndoto.
Ulikuwa huna silaha. Ulikuwa huna bendera.
Ulikuwa unapeleka simu.
Na dunia inapaswa kuwa na aibu.โจ
Pole sana Angel
Signed
Fortunatus Buyobe
Spokesman, Hand to Mouth Battalion
Printer still jammed, Satire Employed
ILIBIDI KUMUUA MTOTO WANGU SARAH ILI MIMI NA MKE WANGU ELIZABETH TUISHI VIZURI. MTOTO WA MIAKA SABA ALIYEUAWA NA BABA YAKE
Sara alikuwa mtoto wa kike mwenye umri wa miaka saba, binti wa Majaliwa Ernest. Alizaliwa akiwa na ulemavu mkubwa kiasi kwamba hakuweza kujilisha wala kujihudumia bila msaada wa mama yake kutokana na hali hiyo
Mama yake, Elizabeth, alikuwa amemlea Sara baada ya matatizo ya kifamilia yaliyohusiana na hali ya mtoto huyo
Majaliwa alitoa maelezo polisi kuwa alimuua Sara kutokana na matatizo ya muda mrefu kuhusu mtoto huyo, ambayo yalisababisha ugomvi kati yake na mkewe. Pia alidai kuwa mkewe alikuwa na uhusiano na mwanaume mwingine. Hata hivyo, mahakama haikukubali madai hayo kama utetezi au sababu ya kuhalalisha mauaji
Usiku wa tarehe 28 Agosti 2021, Elizabeth aliporudi kutoka hospitalini alimkuta Sara hayupo. Bibi yake alisema Majaliwa alikuwa amefika nyumbani mara kadhaa usiku huo
Tarehe 1 Septemba, mwili wa Sara ulipatikana umefichwa kwenye nyasi porini. Daktari alieleza kuwa alifariki baada ya kuzibwa pua na mdomo
Majaliwa alikiri polisi kuwa alimchukua binti yake, akamziba pua na mdomo mpaka akafa kisha akauficha mwili wake
Mahakama iliamua kuwa ushahidi uliothibitisha kuwa Majaliwa ndiye aliyemuua Sara ulikuwa wa kutosha. Alitiwa hatiani chini ya vifungu vya 196 na 197 vya Sheria ya Kanuni ya Adhabu
HUKUMU: MAJALIWA ERNEST ALIHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA.
Cc.@omari_manyama Wakili wa mahakama kuu
akaambulia Ukimwi dada mtu akamwambia haitaji tena mahusiano nae na akiendelea atamwambia dada mtu na baada ya wiki mke akaondoka na mtoto wake akamuacha mume akiwa tayari kaathirika.
Moral: Ukioa usichepuke wanawake wana visasi vya kutisha.
Mwisho