Hivi Mh. Kauli ya KUKINUKISHA SIKU YA UCHAGUZI NA KUUVURUGA UCHAGUZI HAIWEZI KUWA MOJA YA SABABU YA WATU KUVAMIA VITUO VYA WAPIGA KURA, KUCHOMA MOTO VITUO VYA POLISI, SHELI, MAGARI YA WATU BINAFSI NA SERIKALI, MADUKA KUVUVYWA SABABU ALIYETAMKA KAULI HIZO NI MTU MWENYE USHAWISHI?
Mmepewa jukumu gumu sana, jukumu ambalo linaweza kulaani maisha yenu pamoja na familia zenu sasa na hata kwa vizazi vijavyo. Mnapaswa kuacha jambo hili mara moja, haraka iwezekanavyo. Endapo mtaendelea kukaidi, na kwa kuwa dhamira si njema, basi kuanzia sasa Mwenyezi Mungu ataanza kushughulika na kila mmoja wenu katika hilo kundi. Maumivu kwa jamii ni makali sana. Tambueni mshahara wa dhambi ni mauti. Hili ni onyo kutoka kwa Mwenyezi Mungu, kwepeni adhabu yake kwa matendo ambayo hayakuwa ya kwenu. Kimbieni hizo posho, kwanza kwa umri wenu hata kula ni kwa masharti. Msilaani kesho ya wajukuu zenu. Mungu awasaidie na nuru yake iwape ujasiri.
We himiza tu watu watoe taarifa na ushahidi ili zijumuishwe kwenye uchunguzi, na endapo zisipojumuishwa ndo useme tume sio halali.
Hili ni jambo kubwa la kitaifa linahitaji ushahidi ili kujenga uhalali wa uwajibikaji haliendi kuwajibisha watu kimipasho bila ya document.
Mmepewa jukumu gumu sana, jukumu ambalo linaweza kulaani maisha yenu pamoja na familia zenu sasa na hata kwa vizazi vijavyo. Mnapaswa kuacha jambo hili mara moja, haraka iwezekanavyo. Endapo mtaendelea kukaidi, na kwa kuwa dhamira si njema, basi kuanzia sasa Mwenyezi Mungu ataanza kushughulika na kila mmoja wenu katika hilo kundi. Maumivu kwa jamii ni makali sana. Tambueni mshahara wa dhambi ni mauti. Hili ni onyo kutoka kwa Mwenyezi Mungu, kwepeni adhabu yake kwa matendo ambayo hayakuwa ya kwenu. Kimbieni hizo posho, kwanza kwa umri wenu hata kula ni kwa masharti. Msilaani kesho ya wajukuu zenu. Mungu awasaidie na nuru yake iwape ujasiri.
Ndani ya siku 100 za kwanza Mama Samia amedhamiria kuwezesha mitaji kwa wafanyabiashara wadogo wa kati na kampuni changa kukuza ajira na kuinua uchumi wa wananchi.
#KazinaUtuTunasongambele
#Siku100zaRaisSamia
Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) limefanikiwa kuuza korosho ghafi tani 26,254 za wakulima wanaounganishwa kupitia Chama Kikuu cha Ushirika cha TANECU Ltd katika mnada wa kwanza wa zao la korosho uliofanyika mkoani Mtwara.
@EduTalkTz@JeiFrolence@SuluhuSamia Na tiki ya blue unayo lakini unatumia kauli ya Niffer kakamatwa kisa kacheza mziki wakati sababu ya kukamatwa kwa Niffer ilielezwa waz waz.
@siadevinci Wanasema yalianza na maandamo ya amani, je? kuvamia vituo vya wapiga kura na mapanga na kuchoma moto karatas za kura na kubeba masanduku ndio maandamano?
@TheRealJongwe@Gustaphlyakurwa Wafuatao wametufikisha kwenye hii changamoto.
1. Waliopanga Maandamano yafanyike Siku ya Uchaguzi.
2. Walioharibu Vituo vya Kupigia Kura
3. Waliokuwa wanachoma Moto, na kuharibu Miundombinu ya Serikali.
@MariaSTsehai Dada Maria hivi tunaweza kuwatenganisha vipi watu hawa wafuatao na majanga yaliyotokea?
1. Waliopanga Maandamano yafanyike Siku ya Uchaguzi.
2. Walioharibu Vituo vya Kupigia Kura
3. Waliokuwa wanachoma Moto, na kuharibu Miundombinu ya Serikali.