@CRDBBankPlc Kwahiyo nyinyi CRDB namba zenu zote za huduma kwa wateja zinatoa tu maelezo na hata ukibonyeza haikupi nafasi ya kuongea na mtoa huduma kwa wateja! Pesa imetumwa tangu jana to TMS Halotel kwenye account imetolewa na mpokeaji hajapata hadi sasa masaa 24 mbona mnasumbua wananchi?
@Cyancuty Maisha ni Riziki iliyokwishaandikwa, Riziki haziji kwa kuangalia uzuri wetu,ubora wetu ama nguvu zetu, kilicho chako ni cha kwako tu na kitakukuta kwa namna yoyote ile.. Relax, jiamini na furahia wengine, maana kupata kwao hakuna nafasi katika kukosa kwakoโ๏ธ
@tassaa99@comanchechiefIV@tassaa99 pigeni Kazi! Kuna watu hapa hapa Nchini hawawezi kukamilisha Maombi yao wenyewe bila Msaada wa Stationery au waende Internet Cafe kusaidiwa! Leo uzungumze Abroad??! Labda kama unachukizwa kuona wengi wanafanikiwa kupata Udahili nje na ulitamani muwe wachache huko
#Husda