Top Tweets for #Husda
#Husda ni ugonjwa mbaya sana๐
Maelezo yako yote msingi wake ni nongwa kwa nini @zittokabwe aongoze mabadiliko haya.
Yericko, nyie si mlisusa kila kitu hata na hili hamuoni haya?
Credit belongs to a man in the Arena.

Mkuu nakubaliana na hoja ya Tume kujiuzulu kwa 100%, Lakini hebu tuwekane sawa kidogo Buroo, nafahamu, unafahamu kwamba baada ya Rais kusaini sheria mpya ya Tume huru ya Uchaguzi, Hivyo Tume itajiuzulu automatical ili kupisha kuundwa tume mpya, Hivyo hiki mnachoshinikiza ni geresha tu mliingia kwenye uchaguzi mkijua tume si huru, na mnataka kutumia mwanya wa tume hii kujiuzulu kisheria, ati ionekane nyinyi mmefanikisha kuishinikiza ikajiuzulu. Wambieni ukweli wananchi!
@JamiiForums Mzee hata ukimtizama usoni utajua alivyojaa #Husda ,,Mbona hakusema 2015 akiwa mwenyekiti wa chama nini almfanyia Edward?๐ค๐ค

๐๐๐JICHO LA CHUKI LA HUSDA HALIONI ISPOKUWA UBAYA TU..
Amesema Imamu Ibnul Arabiy Al'malikiy ุฑุญู
ู ุงููููู ุชุนุงูู :
((Watu pindi wanapo kosa dosari na aibu kwa yoyote na ikawashinda wao #Husda juu yake na Chuki na Uadui dhidi yake humzushia Yeye aibu na dosari.))
ุงูุนูุงุตู
ู
ู

@tassaa99 @comanchechiefIV @tassaa99 pigeni Kazi! Kuna watu hapa hapa Nchini hawawezi kukamilisha Maombi yao wenyewe bila Msaada wa Stationery au waende Internet Cafe kusaidiwa! Leo uzungumze Abroad??! Labda kama unachukizwa kuona wengi wanafanikiwa kupata Udahili nje na ulitamani muwe wachache huko
#Husda
CHADEMA wanapenda matunda yaliyogharamiwa na watu wengine.
Hadi hapa ishara tosha kuwa CHADEMA wanapenda majadiliano ya @TCDemokrasia yaliyofanyika Dodoma isipokuwa tatizo lao wao lipo kwa Zitto Kabwe tu. #HUSDA kwa Zitto ni kari mno kutoka kwa hawa jamaa wa UFIPA
JENERALI ULIMWENGU AKAZIA SUALA LA KATIBA MPYA KATIKA MKUTANO WA TCD https://t.co/YcM824RoEZ via @YouTube
"You are neither right nor wrong because the crowd disagrees with you. You are right because your data and reasoning are right." Alinena #WarrenBuffett .
Komaa kivyako....binadamu tumejaaliwa #Husda sababu ya kukulia mazingira ya Kilofa
Dunia ya sasa imejaa wakatisha tamaa wengi kuliko watia Moyo!
Wasanii wa bongo fleva wakiacha #HUSDA na #WIVU kwenye INDUSTRY yao watafanya mambo makubwa saaana ..! #PendaNeni #FactZaDc
Haswaa. Katika kiswahili sanifu watu wa aina hii wanaitwa wenye #FIKHI, #HUSDA na #KIJICHO , haya ni Maradhi mabaya sana. #Elimikawikiendi
NUKUU YA LEO: "Ukiwa na roho mbaya, furaha na mafanikio ya wenzako vitakutesa sana" ~ Waswahili.

Hajapupiapo mtu kupenda madaraka au ukubwa, ila huzidi #husda yake kwa watu wengine. Na huwafanyia watu wengine uadui, na hufuatilia aibu za watu, huchukia wengine kutajwa mbele yake, kinyume na yeye kutajwa.
-Imam Fuwadhil ibn Iyaadh.
"Jumu'ah Mubarak.
Before advising British businesses to invest in TZ please visit Kahama to see what happens to the local economy when a British PLC is targeted by the GoT. British businesses have a right to know of the risks wouldnโt you say? Karibu TZ.
Ria ni miungoni mwa dhambi zilizo jificha ndani ya moyo wa mtu,
_
Sheikh @yusufabdo
_
#ria #hasad #dhambi #moyo #shirki #husda #MiskyaRoho2017 #miskyaroho #ibada #ElimuBilaMipaka #ukumbusho #uislamu #haki #ukweli #tvimaantanzania #islamicftz
#Wivu #RohoMbaya na #Husda havikuanza kwetu wanadamu tu,Skiza Baada ya Binadamu na Malaika wengine kuumbwa kwa nuru,Malaika wote kupewa agizo kuwa watawatumikia Binadamu.Lakini Malaika aliepewa Jukumu la kumburudisha Mungu yeye ALIGOMA sababu ya upekee wa yeye kuumbwa kwa #Moto
#UtamaduniWetu
โพYafaa ifahamike kuwa #ProfAssad yuko sahihi na atakumbukwa katika Historia ya Nchi hii. Nanyi wabunge mliofanya #Hila na #Husda mtakumbukwa kwa udhaifu wenu. #ShameOnYou
#WeStandWithCAG
#IStandWithCAG
#BungeNiDhaifu
#KatibaMpya
#TzKwanza
#ChangeTanzania

Mjadala wa Mafao ya pensheni Kati ya Sekta Binafsi na Sekta ya Umma umewekwa vizuri na Katuni Hii ya @masoudkipanya #HUSDA Ni #Tunu ya Taifa @MwananchiNews

Hupati usingizi na amani bila kumuattack Rais @MagufuliJP ,bado miaka 7 mingine mbele ya kuwepo madarakani
Kama #CHUKI zako na #HUSDA havitaisha ujue kabla hajamaliza muda wake uliosalia (7yrs) utakuwa umeshaanza kuokota makopo
#ProtectTanzania
@PhitMathematic Acha mzee binadamu tunaishi na kuishia katika nafsi zetu tukiwa hai.. #husda sio jambo jema kabisa.. Tuombeane tu
Last Seen Hashtags on Sotwe
JeanClaudePats
Seen from United States
cmuchp
Seen from United States
momsonn
Seen from Latvia
jilbobsekolah
Seen from Indonesia
bigload #cumonass
Seen from United States
เนเธขเนเธเนเธเนเธ
Seen from Thailand
watotomentalhealth
Seen from United States
telematik
Seen from United States
facatativรกemprende
Seen from United States
culoperfecto
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.1M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.8M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.1M followers

Bill Gates 
@billgates
65M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.9M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers






















