Kuna mtambo tuliweka pande ya Two rivers wale jamaa wamenipea refferal ya nguvu namna atari sana kwa NGO. Na unajua NGO wanalipanga yote once,these pipo have liquidity like nonsense! Hapa mambo ikienda msuri vijana mimi ata nawesa hamia karen. Contract ya million kumi na moja deposit ikiingia tu namna hii disemba inanipata South Africa,niko tu pale naskiza jazz, mziki wa matajiri,na sigara size ya kifagio,inaitwa cigar! sportsman nawachia mafundi ya maji. Bibi niingise gumbaru school asome ata homescience,ndio ajishikilie kabla nirudi kutoka malishoni
Mimi nipotee kidogo kwa hawa wanaitwa baddies,kama hii inaitwa eve maina sasa. Huyu kwanza nalipia flight private jet mpaka Johannesburg. Kasi pale itakua ni kuswaga,naswaga yeye kama Eurobond! Akisema aki polo im tired,natwanga yeye 100 sausand,ngufu inarudi. Kabla january ifike ako na mimba ya miesi tatu,eih! Akiamungu apa mbele mambo inaenda kuchemka. Mungu baba hii kampuni ya Keensight tumeiweka mikoni mwako,manake ni wewe uliandika na ukasema man shall not live by bread alone. Khabusie!
Nimepigia one of my high school old friends I haven't heard from him in like 5 years kumjulia hali akadai "ata ni mungu amekutuma" nikajua hapo nimejipeana.