@Litelight9@juliejuleth Watu wenye changamoto za kusikia huwa ni wagumu/wazito kuanzisha mawasiliano na mtu asiyemfahamu. Kwa sbb ya hali yake anakuwa na hofu ya kutokuelewana na anayezumgumza naye ikiwa hamjui. Lkn akikutana na mtu ambaye anafahamu changamoto yake huwa anaanza kwa kutabasamu kabisa.