Watu wanauliza "wewe jamaa unalala sangapi?" Maana muda wote hasa X nipo online nafanya mbishe zangu.
Kwanza lazima mjue baada ya KUTEKWA mwaka sasa na miezi 6 maisha yangu yamebadilika sana. Siwezi kulala mfululizo masaa 4 lazima nishtuke.
Wenge (Trauma) kichwani mwangu bado lipo, kuna siku silali kabisa usiku mzima na hizi ni siku nyingi kwenye maisha yangu haya mapya.
So kuhusu kufurahia USINGIZI sikumbuki ni lini nililala nikasema leo nimelala. Kwahiyo mimi na usingizi sio vitu vyangu.
Nalala muda wowote nikijisikia kulala na haiwi usingizi wa maana sana ni kujiegesha tuu.
TURUDISHE TABASAMU LA CATHERINE NA FAMILIA YAKE. Tuma mchango namba 0740264760 Voda Jina:
Catherine johaness protace
Catherine johaness protace ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo cha CBE Dare es salaam.
Anaishi Mtaa wa Mashine ya Maji Kata ya Buza Wilaya ya Temeke Dar.
Catherine amekosa matumaini ya kuendelea na Chuo baada ya kaka yake Baraka Chacha Mwita aliekuwa anamsomesha kuvunjwa miguu yote miwili na kupewa kesi ya Uhaini, mpaka sasa yupo gerezani.
Mahitaji muhimu ya Catherine na Familia yake.
1.Ada ya Chuo Million 1
2.Bima ya Afya
3.Kodi ya Nyumba
4.Mahitaji ya kila siku
5.Matumizi ya Kaka yake magereza.
Tumchangie kiasi cha Million 5, namba yake ni 0740264760
Catherine johaness protace
REPOST 200
TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐
Oyaaa Machalii, Bro niko Gado, nakula CHABO๐๐
Huyu niaje-niaje kaingiza hewa, hakuna kitu anasema iko solid. Ni kelele za bure, hakuna haki, hakuna ukweli.
Mwendo ni ule ule, hakuna kubadilisha gear ,
๐ซ BAN.
๐ซ BAN wasanii wote wanauza uongo.
๐ซ Huyu pia piga BAN , unfollow, no streams, no hype.
Hatutabebi ujinga juu ya clout.Hatutabeba propaganda juu ya beats. Ukipotosha watu kwa mic, ukikanyaga haki juu ya likes, tunakuonyesha dust.
Sanaa bila ukweli ni scam.
Na scam hatu buy, tuna cancel. Yoyote anapotea njia anaachwa nyuma, alone. BAN
@Jambotv_ Like serious karne hii kwel tunaongea shida ya maji hii nchi ina ujinga mwingi ,wezi wengi kiufupi viongozi hawajitoshelezi .tuna safari ndefu sana kwa kwel.