@JoshuJM@joharimshana Tunawajua nyie hapo mnatafuta sababu ya kumkamata huyu kijana wa watu.. Tutathibitishaje kama hizo taarifa mmezitengeneza wenyewe? Jee, Mwaipopo na wenzake ni ruksa kufanya hayo anayoyahibiri? Acheni hizo
@Sisimizi3 It's sad kwamba vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama vina ongozwa na Intel za kusikia. Na je kama ni kweli walishinda kwa 97% wataongoza kwa njia hii hadi lini?? Wananchi wanahitaji maisha bora, equal distribution of government cakes, na sio mabavu haya
Ushuru wa Mabango ya Matangazo kwa sheria yetu yanalipiwa, kwa kila mita square ni zaidi ya 7,000…
Kuna Mabango ya kampeini za Samia kwenye kila Halmashauri ya Nchi hii.
Tunataka kujua fedha ambazo zimelipwa na ccm kuendelea kuweka Mabango ya uchaguzi katika maeneo ya umma.
Brother @rioferdy5, you need to be very careful about the people you choose to stand beside. History does not forgive those who normalize evil for fame, money, or photo opportunities.
Can you proudly call Osama bin Laden your friend? Can you shake hands with people accused of killing innocent civilians?
Paul Christian Makonda is your good friend? Seriously?
At some point, silence becomes complicity. And yes, “birds of a feather flock together” exists for a reason.
#TanzaniaMassacre #SamiaMustGo #FreeTunduLissu
@statedeptspox Reading the comments, I suspect the following: Tz. Gov hired a PR firm. Anticipating the US announcement, they prepared fake online commentators to post pro Tz. Gov. Content as soon as announcement came out.
Does @rioferdy5 think East African youth are drooling idiots? What is he still doing in Tanzania? "Inspiring" footballers with ZERO academy visits? Zero teams🥺.Just parliament selfies with puppet MPs? Washed-up sellout pimped to sportswash murders. Bounce with your fake legacy.
KUTOKA KATIKATI YA KUTA ZA MAGEREZA UKONGA, ANAANDIKA TUNDU ATIPHAS LISU:
Mwaka 1988 mto Vaal huko Free State ulifurika na kujaza bwawa kubwa la kuzalisha umeme la Vaal Dam. Bwawa likazidiwa maji na kutapika. Sehemu kubwa ya maji yakaenda kuathiri mashamba ya makaburu huko Free State na Gauteng. Nyumba za wakulima wa kizungu zikabomoka, na vifo 11 vikaripotiwa.
Wakati huo kulikuwa na mapambano makali ya watu weusi kudai uhuru kutoka kwa makaburu. Baada ya makaburu kupata majanga hayo ya mafuriko, maelfu ya watu weusi walishangilia mitaani na wengine wakifanya sherehe kama ishara ya kushukuru "miungu" yao kwa kuwalipia kisasi.
Rais Pieter Willem Botha, mmoja wa Marais katili mno wa Kikaburu, akalaani kitendo cha Waafrika kushangilia vifo vya makaburu. Huyu ni yule aliyewahi kusema Waafrika hawana akili za kujitawala, wanapaswa kutawaliwa milele. Baada ya mafuriko hayo P.W Botha akasema serikali yake haitawavumilia walioshangilia vifo vya makaburu kwa sababu huo si ubinadamu.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama cha ANC, Walter Sisulu, akamjibu P.W Botha kwa maneno ambayo yanaishi hadi leo. Sisulu alisema:
"Kama makaburu hawaumizwi na vifo vya watu weusi, wasitegemee kwamba weusi wataumizwa na vifo vyao. Weusi wameuawa kinyama na makaburu, na wengine hawakupewa hata heshima ya kuzikwa; walifukiwa kwenye makaburi ya halaiki kama wanyama. Leo, makaburu wakifa wanataka weusi waomboleze? Huku ni kujipa haki kubwa kuliko hata malaika.
Hamuwezi kuua watu weusi, muwafukie kama mizoga, halafu mkifa nyie mnataka watu haohao wasikitike. Binadamu ni yule yule, awe mwenye ngozi nyeusi au nyeupe. Kama wewe kaburu unaumizwa na kifo cha kaburu mwenzako; unapaswa kuumizwa na kifo cha mtu mweusi pia. Kuwa mweupe au kuwa na madaraka hakukufanyi kuwa binadamu kuliko wengine. Utu wetu haupo kwenye rangi za ngozi zetu wala vyeo vyetu.”
BREAKING: Mzee Bwege. KATIKA maisha yako, umesimamia haki. Haukununulika, hadi kaburini, unaenda kama shujaa. Tanganyika imempoteza mzalendo wa kweli. Mungu na ailaze roho yako mahala pema peponi 🙏
Ngoja niulize swali huenda mimi ndo sijaelewa. Huyu Mwenyekiti wa kitongoji amelalamika kuhusu hofu yake ya kutekwa au kuuawa na DC. Sasa kwanini Mwigulu amemwelekeza tena DC huyohuyo kumlinda? DC ambaye ni mtuhumiwa anawezaje kumlinda mtu aliyeenda kumshtaki kwa boss wake? 🤷♂️🤷♂️