@MtanzaniaNews Swala sio vilabu kujadili hilo, Bali wazawa watakosa soko.
Unaweza kukuta kikosi kizima kikawa ni wageni ila mmoja.
Tutakosa Pia wapigania Taifa Kama watakuwa wakisugua bench.
Huu ni wazimu au nini?
Barcelona wanamsaini Malcom 21 ambae ni Mbrazil asiyechezea timu ya taifa kwa dola 35m
Ni vipi sisi macho yetu kuona vipaji?
Nchi ya watu mil 55... haina maajabu yoyote?
"TLS kwa sasa hivi hatuna ajenda ya kufufua harakati za kudai katiba mpya. Lakini mimi binafsi ningependa tuondokane na katiba ya mwaka 1977 kwani inawanyima wananchi nguvu ya kufanya maamuzi."- Rais wa TLS, Fatma Karume
We need a strong Yanga for Simba to excel. We need a strong Yanga for a better Taifa stars. I pray that young africans get through these difficult times. They need to be calm and regroup.
Tunahitaji Yanga imara ambayo inaweza kushindana na Simba. Tunahitaji Yanga imara kwa ajili ya timu bora ya Taifa Stars. Ninawaombea Yanga waweze kupita katika kipindi hiki kigumu kwao, wanapaswa watulie na waungane upya.
Mlianza kwa kunitisha. Bomu ofisini kwangu. Halafu mkaendele kwa vitisho na matusi kwangu na familia yangu nzima hata hao waliokutangulieni. Halafu mtanikata kichwa kama nyoka. Sasa eti nikibadili tactics I will be a winner. ๐คฃ I AM A WINNER bc I donโt sell out.