@nyuki_malkia Na mwanaume ndo kwanza penz au mahusiano yanakolea wakat mwenzie anamalizia malizia vya mwisho kulipa fadhila, umemjua mama kupitia mwanae na co umemjua mama afu mwanae wema unatosha huo waachie wengne
@nyuki_malkia Wanaume hapa ndo tunapofell kumsaidia mwanamke wakat anamatatizo au changamoto it's good en well lakn kuanzisha mahusiano naye hili tatzo unalea mwenyewe coz wanawake hawana wema kulipa fadhila n kukupa penz akshafanya hvyo kashamalza kulipa fadhila na kwa mungu anajihesabia haki