#TajiriLaKihaya
We KIJANA nisikize mimi…
Jitahidi saana watu mliofahamiana humu… Urafiki wenu ubaki humu tu mtandaoni!
Usitake wakufaham zaidi ya hapo…
Hata ikitokea kukutana… mwanaume nenda nae Kucheki mpira au Club basi…
Kama ni manzi kutateni hotelini hata kama unagari… apande gari lake kama Hana achukue Bolt…
Mambo sijui ya kupelekana nyumban,mara kazini kwako,umruhusu ayafahamu maisha yako kiundani - UTAJUTA!
Humu hakuna RAFIKI YAKO… ni Unafiki tu! Mtachekeana lakini moyoni Anakuchukia saana!
Alafu usisahau Upendo na Urafiki HUISHA!
Anaeuza information zako kwa adui ni Rafiki yako wandani saana na sio mwingine💯💯