@ACTwazalendo@zittokabwe@AdoShaibu Huyu Ado. Akapimwe akili tu,asipopambana kukijenga chama chake kwa kuwa na sera zenye kueleweka na zauhakika Kila siku atalia Tume sio huru
Ewe mtanzania, kuna vigezo mbali mbali vya kuzingatia ili kuboresha taarifa zako kny daftari la kudumu la mpiga kuraa.. unavijuaa!!? Sikiliza hii hapa chini
https://t.co/hPYAf6s8ac
@TumeUchaguziTZ@TumeUchaguziTZ@SuluhuSamia