Hii hapa chini ni Hotuba ya Tundu Lissu miaka 12 iliyopita kuhusu muungano.
Je, ni sahihi watu wa aina hii kwenye taifa letu wazawadiwe kumiminiwa risasi, kufungwa magerezani, kutekwa, kupotezwa na kuuawa?
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
Leo, tarehe 26 Aprili, 2026 ikiwa ni Siku ya #Muungano, tujikumbushe mwaka 2014 ambapo Mhe. @TunduALissu aliwasilisha maoni kuhusu #Muungano katika Bunge Maalum la Katiba.
@mshambuliaji@johnjackson_jj Mama alishaitangaza Tanzania vya kutosha alipoua maelfu ya watu Oktoba 29. Tanzania tayari tunajulikana, tunajadiliwa hadi na wabunge wao.
Hayo matangazo mengine ni kupoteza kodi zetu tu.
@mshambuliaji Mama aliishatangaza Tanzania vya kutosha alipoua maelfu ya watu Oktoba 29. Tanzania tayari tunajulikana na tunajadiliwa hadi na wabunge wao.
Hayo matangazo ni kupoteza kodi zetu tu.
Mnachunguza mtu aliyejaribu kujiua mwenyewe, wakati huo huo ninyi mumethibitishwa kuua watu zaidi ya 500 na walioua bado wapo wanaendelea kulipwa mishahara, wengine mmewapandisha vyeo na wengine mmewasafirisha nje ya nchi wanakula maisha.
Ninyi ni polisi au kikundi cha wahuni?
#Tanzania
"An 82-page submission to the International Criminal Court by a group of civil society organizations [has] stated that the Tanzanian authorities killed more than 3,000 civilians following polling day [last October]."
https://t.co/dHCUchvlQU @euobs
Mkaguzi na Madhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Professa Mussa Assad amesema ni muhimu kuwepo na ukaguzi na ufuatiliaji wa maisha ya wanasiasa au viongozi wanaoteuliwa kwa nafasi mbalimbali na tathmini iwe inafanyika mara kwa mara sio kwa viongozi tu bali hata ndugu na jamaa zao.
Prof. Assad amesema hayo alipohojiwa na Clouds TV na kueleza kuwa hilo litatoa taswira juu ya uadilifu na kujulikana kwa uhalali wa umiliki wa mali hizo wakati wa utendaji wa viongozi hao.
Ameongeza kuwa yupo kijana mmoja anamfahamu ni Waziri kwa kipindi cha miaka mitano anamiliki magari ya kifahari ikiwemo Landcruiser LC 300 matatu, Range Rover na maisha ya gharama anayoishi kiongozi huyo jambo ambalo linaleta maswali juu ya namna alivyopata mali hizo kwa miaka mitano.
Many thanks to you @rodneycloete and the @IPC Party for your unwavering support and solidarity with the people of Tanzania during this difficult chapter in our country's political history. We are deeply grateful to the people of Namibia for consistently standing with Tanzanians in their pursuit of justice, democracy, and human dignity. Your partyโs statement is a powerful testament to that enduring solidarity and commitment to the values that unite our peoples. #FreeTunduLissu #SamiaMustGo @NamPresidency@SADC_News@ECN_Namibia@HecheJohn
@NNNandiNdaitwah
@NamPresidency You're endorsing the killings of unarmed civilians by the government of Samia. You're wrong. She is swimming in the blood of the victims. She's not a legitimate president. She didn't win the election. She made herself a president. Even @TMFoundation_@SADC_News are against her.
President Nandi-Ndaitwahโs State Visit to Tanzania must not be reduced to ceremonial photographs and liberation nostalgia.
Namibia must honour Tanzaniaโs past solidarity, but we must not use that history to excuse present repression.
If Namibiaโs liberation struggle taught us anything, it is that silence in the face of injustice is complicity.
President Nandi-Ndaitwah must raise the detention of Tundu Lissu, the allegations of post-election killings and abuses, and the urgent need for constitutional and electoral reform.
True friendship is not silence. True African solidarity means standing with the people when democracy is under attack.
#FreeTunduLissu #Tanzania #SADC #Namibia
@Thommunkondya Sio kweli kuwa CCM haijafanya lolote. Ukweli ni kuwa CCM imechangia sana kuharibu hili taifa.
Ufisadi unaofanywa sasa hivi ni viwango vya juu zaidi. Kadhalika mauaji ya raia bila uwajibikaji yameongezeka sana. Mifumo ya chaguzi na utawala wa sheria ndio imeharibiwa kabisa.
@millardayo Mwanamama anaonekana hajapata madaraka kwa kumwaga damu za watu.
Sio yule mama mwingine muuaji na katili. Hata hapo Magomeni aliua watu wa kutosha.
Anapiga picha za kinafiki na watoto ili aonekane mnyenyekevu, lakini matendo yake ni ya kikatili na mauaji.
@MsigwaGerson Hakuna polisi Tanzania. Ni mashetani na wauaji wakubwa ambao wapo kulinda maslahi ya watawala mafisadi.
Hakuna jinai kubwa kama kuua maelfu ya watanganyika barabarani na majumbani kwao.
Samia alipaswa awe jela kwa kuharibu uchaguzi na kujitangaza mshindi kwa kura feki.
@ikulumawasliano Mtendaji mkuu wa Mahakama ni Samia.
Samia ndio kamfunga Tundu Lissu ndani kwa zaidi ya mwaka. Samia ndio anawafungulia kesi Chadema kila siku. Samia ndio aliyetupilia mbali kesi za watu waliotekwa na kupotea kama balozi Polepole.
Tanzania hakuna mahakama. Samia ndio mungu wao!
@ayubu_madenge China anaelekea kufanya nchi za Afrika kuwa makoloni yake.
Yeye haonekani mbele, bali anawatumia watawala wetu wabinafsi na makatili kama wakala wake. Anawapa nguvu, pesa na ufahari, na pia hawaingilii kwenye maovu yao dhidi ya wananchi.
Anachojali yeye ni kukuza himaya yake!
@ikulumawasliano Mtendaji mkuu wa Mahakama ni Samia.
Samia ndio kamfunga Tundu Lissu ndani kwa zaidi ya mwaka. Samia ndio anawafungulia kesi Chadema kila siku. Samia ndio aliyetupilia mbali kesi za watu waliotekwa na kupotea kama balozi Polepole.
Tanzania hakuna mahakama. Samia ndio mungu wao!
@ikulumawasliano Mtendaji mkuu wa Mahakama ni Samia.
Samia ndio kamfunga Tundu Lissu ndani kwa zaidi ya mwaka. Samia ndio anawafungulia kesi Chadema kila siku. Samia ndio aliyetupilia mbali kesi za watu waliotekwa na kupotea kama balozi Polepole.
Tanzania hakuna mahakama. Samia ndio mungu wao!