@DrHmwinyi Sema heri ya kuzaliwa baba.Happy birthday mzee wetu mzee wa busara usiye na kinyongo raisi wa watu mzee ruksa Mungu akujaalie afya njema na heri hapa duniani
Where are you exploring this weekend in Dar-es-Salaam? π
Unatembelea wapi wikiendi hii jijini Dar-es-Salaam? π
πΈ: rizvi.clicks on IG
#daressalaam#mydaressalaam#tanzania
@RabbitTheKing Ogopa sana swala la imani ogopa sana kiumbe chochote kisiiteke imani yako unaweza ambiwa kinyesi ni dawa na ukala sababu ushatekwa imani yako hivo chezea vyoote ila sii imani yako ikitekwa ni neema tuu ya Mungu wa kweli ndiyo itakuokoa