@mshambuliaji@Caamil8 Dhuluma anazo shirking kuwaumiza wana Simba zinatosha kumpeleka pale ambapo muumba wake hayupo..... penalt tulizonyimwa dhidi ya kibu, na wwngine . Magoli ya uungo . Faulu ambazo hazipigiwi filimbi zinamuandama.
@PeterKanza1@jemedarisaid Mnamakasiriko sana wana yanga lakini aliewatoa kimataifa sio kazumari ... nadhani kama unaeleqa vizuri tazama ulipojikwaaa sio ulipo angukia
@Gery_Gerrald@ChicharitoSanga Huu ni udhalilishaji wa kijinsia..... ni magnificent mabaya ya mjumuisho kwa kiiila mwanamke ....
Kama ni mmoja ambaye anamapungufu sio wote. Vipi refa mwanaume alien chezesha mechi ya simba na yanga akaleta malalamiko kibao
Kama mfano mkubwa mlionao kuonesha mie ni Mbaguzi ni mimi kumuita Magufuli “witch doctor from Chato” na kusema Feleshi ni Msukuma basi mmekula na chui.
😂😂😂😂
@ahmed__ally Mmemfukuza Phiri, Baleke .... halafu Fedi na Jobbe ... Aibu sana ... una-gobore na Risasi zake halafu unalitupa unaenda unusual Mashinegun na Huna risasi zake jeeee? Huo ni uuungwaaànaaaa??? Tulichukua ubingwa mara 4 hatukuwahi kuwafunga yanga nnje ndani Aibuu Aibuuuu Aibuuuu
@ahmed__ally Haya ni ya kitoto sana ... Nakuhushimu sana Kkaka Ally .. huu ni utoto umeandika ... kama ambavyo Kocha kaona aondoke kulinda CV yake ni bora na wewe uondoke .. Bora kuliko kuandika sentence kama hiii mbele ya hadhara ya wana simba ..... Mlimfukuza Robatinyo kipo wapi.. Hadithi
@ahmed__ally Ally mi nakuheshimu sana kkaka sana , post kama hizi usituleteee... Nayamaza kkaka....
Hivii kwanini mlimfukuza Phiri na Baleke ... kwaniniii ????
Kunyamaza pia ni jibu kaa tu kimya
@ahmed__ally Kkaka mnatuumiza sana....
Ahmed tunaumiaaa ....
Ubingwa tumekosa na tu
achwa kwa point kibao...
Tumefungwa nnje ndani...
FA tumekosa kwa Aibu ...
Ahmed tunaumia sana