@PKarugendo Naona kuna aina ya watu wakikiuka kanuni au sheria wanatetewa waachwe lakini kuna watu wakiwaza tu kukosea kanuni au sheria kelele pia kuwa wanakosea... Tuache sheria itende ilichosema, tusitoe matamko kwa ubinafsi na kutamani kufurahi ss tu, tuchukue yote
@HecheJohn Kujua kwingi huondoa maarifa......waswahili walisema kuchamba kwingi.........utamalizia...sidhani kama tafsiri sahihi ya upinzani ni kupinga hadi neno pinga lenyewe....anyway tetea ugali
@ImmaNtobi @HecheJohn@halimamdee@WorldBank@HakiElimu Nadhani na wewe ni mdunga mimba wanafunzi...maana namna mnavyoshabikia mimba zidungwe shuleni ni wazi kabisa na wewe umeshadu ga mabinti kadhaa na unaendelea na kazi hiyo...sidhani kama ni sahihi lakini hukupaswa kutumia tafsiri sisisi katika hilo unalomshutumu magu.
@fatma_karume@HecheJohn Chuki, uasi, kujifanya unajua, umimi, ubifsi na roho mbaya vinakusumbua sana, hauna huruma na watu wa Taifa hili hata kidogo, unawaza mabaya dhidi ya viongozi bila kutizama athali zitokanazo na mabaya hayo kwa wananchi wanaoongozwa... Fikiri zaidi ya unapofikiri sasa utaelewa.
@godbless_lema we tulia dawa ikuingie.....unajaribu kuuminisha umma kuwa taifa lipo kwenye shida??? We kama ndoa yako inayumba tulia solve usizani wewe ukiwa na tabu Taifa nalo lipo kwenye tabu...beba mahangaiko yako wewe MZIMBABWE, Tuache WATANZANIA TUIISHI AMANI NA SALAMA YETU.
@zittokabwe@MagufuliJP Pale unapokua unawaza uasi kila kukicha unajikuta unashindwa inabaki kutafuta kuxungumzika kwa kujifikirisha ujinga ujinga na kufurahia mambo ambayo si kama mtu mzima hupaswi kufanya hivyo. Endelea kupinga kila kitu mzee bado tunaishi
@godbless_lema Wezi mmebanwa mnaanza kupiga yowe ooh usalama wa maisha umepungua...... Unataka uishi kwa ujanja ujanja na ukosefu wa adabu na uachwe ndo useme kuna utawala wa sheria?!!... Unataka uishi kwa kutishia watu waogope ili ujizolee ujiko ndo uone kuna utawala wa sheria??? Endelea kuota
@willyc993 @MariaSTsehai "Kwa aliyeelimika kwa kodi za watu wanaojituma na kukatwa kodi zao kwa ajili ya wasomi katu hawataamini uhuni na fedheha kama malipo yenye dhihaka kama fadhila za kodi zao. Uyo mtu alosema hivyo atathmini kutosha kwake si kama kiongozi bali utuuzima wake" -mbunge wa kigoma kusini
@HecheJohn kocha nayeye yuko ccm eeh????........ Utalalamikia adi kunyimwa unyumba kwenye media ..... Jitahidi sana kutoonesha ujinga wako mbele ya watu.
@fatma_karume@godbless_lema@tanpol Huwezi kutangaza hazarani kuwa unataka uadui.. Unachokifanya kinadhihilishia umma wenye hekima na busara za kupambanua mambo kuwa ni dhahil bin shahil unao uadui dhidi yao. Acha kujua kuliko jua yenyewe, jitahidi kuwa na kiasi itakusaidia uendako.
@fatma_karume@BhoiHassan@tanpol Nachokiona hapa ni kwamba unajua kuweka maandiko kutisha kuwa unajua lakini uhalisia ni kuwa hujui...tofautisha kuhudhulia shule ulikokufanya wewe na kujifunza walikofanya welevu wanaojipambanua kwa elimu walizonazo. Ni vema uchutame dada
@godbless_lema Naona unatafuta sababu ya kuwa mjadala kwa hali na mali... Navipongeza vyombo vya ulinzi kukupuuza. Ujinga ni kujikuta wewe unajua kuliko kujua kwenyewe.... Mheshimiwa elewa tu kuchamba kwingi kushika kinyesi na ndio unakoelekea. Tulia wafanye kazi usiwabeze kiasi icho inakera
@godbless_lema Tunamshukuru Mungu kwa wema na fadhiri zake yupo hapa nyakati za sasa.... Tunashukuru kwa kutupa Rais Magufuli ... Tunashukuru kwa kutupa wapinzani... Tunawaombea ninyi msio na macho na fikra nzuri dhidi ya taifa hili muendelee kuwepo ili mshuhudie mafanikio zaidi, iwaume zaidi