Dkt. Magufuli: Vijana wanakosa ajira, Vijana wanadharaulika wengine wamemaliza kusoma hawapati ajira
> Miaka 5 inayokuja nataka suala la ajira nilishughulikie kwa nguvu zote. Kama tumeweza kuupandisha uchumi, kujenga Fly-Over, siwezi kushindwa suala la ajira kwa Vijana
#JFLeo
"Tunachunguza tukio la video iliyorushwa mitandaoni ya askari wetu akibishana na mgombea ubunge wa jimbo la Hai Freeman Mbowe akimwambia kuwa hashindi" IGP Simon Sirro
Jeshi la Polisi Wilayani Hai leo Oktoba 7, 2020 limemzuia Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Ubunge Jimbo la Hai Mhe.@freemanmbowetz asifanye mkutano uliokuwa ufanyike kwenye Kijiji cha Rondoo Kata ya Romu jimboni Hai.
Polisi wenye silaha wakiwa na magari zaidi 10 wamevamia na Kuushambulia msafara wa Mgombea Urais Mhe.Tundu Lissu leo Septemba 28, 2020 Nyamongo Serengeti mkoani Mara, wamepiga mabomu ya machozi na kujeruhi watu, Mhe. Lissu yupo salama taarifa zaidi zitawajia hapo baadaye.