@NABJ@FlorenceDAttlee@GianlucaMezzo@BenDoBrown When the Tanzanian media was silenced by the government, we spoke to more than 100 people for this forensic investigation https://t.co/4gaBtscV4K
Pesa wametoa wananchi ila wanaolalamikia pesa hizi ni wauwaji wa October 29 mpaka wanalipa watu kumchafua. Wao wanaumwa nini roho? Sisi wananchi tunaotoa hizo pesa tuna Imani naye na matumizi ya pesa.
Okra farming needs warm weather, fertile well-drained soil, and regular watering. Plant seeds with proper spacing, apply manure or fertilizer, control pests and weeds, and harvest tender pods after 45–60 days for good yield.
Avocado farming is a growing opportunity for farmers due to high market demand and strong nutritional value. With proper management, avocado trees can provide long-term income and support sustainable agriculture.
Nikizungumza na Rt. Hon. @stephenharper, Mwenyekiti wa IDU na Waziri Mkuu wa 22 wa Canada, katika Mikutano ya @idualliance jijini Washington, DC, USA. Nimewasilisha ujumbe wa M’kiti wetu @TunduALissu kutoka Gereza la Ukonga.
#FreeTunduLissu
I’ve just seen the reports about Meta suspending Mange Kimambi ’s Facebook and Instagram pages, apparently after pressure from the Samia Suluhu Tanzanian government.
This is exactly why I’ve never fully trusted Meta.
Why would Mark Zuckerberg bow to political pressure from any government, especially when the voice being silenced has been speaking for democracy?
Mange has been highlighting the struggles of ordinary Tanzanian families. She has been highlighting the deaths and killings done by the Tanzanian government against Tanzanians
She has been raising uncomfortable truths.
If anything, that voice deserves protection, not punishment.
Silencing critics doesn’t solve injustice.
It only deepens the wounds of a people already fighting to be heard. Meta is now enabling injustices.
My people, if you can, tag Meta in the replies and demand fairness.
No platform should assist in suppressing civic voices anywhere.
Facebook
Restore Mange Kimambi’s accounts.
Restore fairness.
Restore the right of the people to speak.
Kila unakopita tunaku zoom tu 🙄
“tuna watu” kama Mzee Mpili!
Eniwei acha kumpa matumaini Jezebel si umeona huko kote umepita imebuma!
Hakuna mtu anataka kushika mkono uliojaa damu!
#SamiaMustGo#TanzaniaMassacre#D9Tunatoka
Hiki kipindi……especially kuanzia September mpaka sasa!!
Mahusiano yangu na marafiki zangu, wasanii wenzangu na baadhi ya ndugu zangu hadi wale wa karibu yamevunjika sana!!
Ni kwasababu tunapishana tabia
mitazamo,hisia,maamuzi na matendo!!
Nimeshajaribu mara kadhaa kuingia nao kwenye conversation kuhusu yanayoendelea……naona kabisa hatuko kwenye same page!!
Hatuongei lugha moja!!
Hatuyaoni haya yanayoendelea na namna ya kuyatatua katika jicho moja na mawazo sawa!!
Kuna wakati tunachat kwenye magroup mpaka tempa inakuwa kubwa wengine wanaishia ku-left na kublokiana!!
Kuna wakati tunapiga 3way call/4way call
tunalumbana mpaka topic inashitf inakuwa personal….tunagombana na kuliana buyu kabisa mpaka leo!!
HUU MWAKA 2025 UMEKUWA MGUMU SANA
Many Tanzanians want an international independent investigation into the killings.
Three weeks after the election, there are many families still searching for their loved ones
Nina furahia sana kila nikiona kwamba wanawake wengi siku hizi wanazungumza siasa. Wanazungumza mambo yanayo athiri jamii na kuonyesha kuchukizwa nayo. Najivunia sana nyinyi.