Join us for a #livestream of the Panel Discussion on #HearMeToo: Listen, Share & Inspire on our twitter account! https://t.co/xnygIoDpvB
Take part in the discussion and online Q&A through hashtags #HearMeToo#16Days and #OrangeTheWorld.
"Nchi inakwenda vizuri na uchumi wetu uko vizuri, nchi yetu ni miongoni mwa nchi nne katika Bara la Afrika ambazo uchumi wake unakua kwa kasi kubwa, uchumi wa Tanzania unakua kwa asilimia 7 na huenda mwaka huu utakua kwa 7.1%"- @MagufuliJP#UzinduziMaktabaUDSM
Waziri Ndalichako ameliibua upya sakata la ubadhilifu Chuo Kikuu cha Mkwawa mbele ya Rais magufuli. "Ninashindwa kujizuia kutamka kwamba mchakato mzima wa ujenzi wa ukumbi wa mihadhara wa chuo cha Mkwawa umetutia doa kubwa sana...mambo yaliyofanyika ni ya hovyo..."
Rais Magufuli: Mzee Lowassa wewe ni mzalendo wala huna kelele wenye kelele ni hao wengine. Hongera mzee Lowassa tunataka Tanzania isiyo na chama
- Nakupongeza sana ili hata ukawaeleze unaowaongoza kule vinginevyo wataishia magerezani kwa kuvunja sheria
#JFLeo#UzinduziMaktaba
"Nakupongeza sana Lowassa, wewe na mimi ndio tulioshiondana, lakini nilipokutupa chini ukaenda huko ukatuliaaa, lakini wanaopiga kelele hata kugombea hawajagombea" You are a super man.Ninalisema hili mzee Lowassa ili ukwashauri wale unaowangoza, otherwise wataishia magereza" JPM.
When Mueller does his final report, will he be covering all of his conflicts of interest in a preamble, will he be recommending action on all of the crimes of many kinds from those “on the other side”(whatever happened to Podesta?), and will he be putting in statements from.....
Maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ina majengo mawili, maktaba yenye na Taasisi ya Confucius. Maktaba hiyo ina uwezo wa kukalisha wasomaji 2,100 kwa wakati mmoja, na makasha yenye uwezo wa kuweka vitabu 800,000. Pia ina ukumbi wa mikutano wenye uwezo wa kukaa watu 600.
Mwanaume ,unatakiwa kumzidi mkeo pesa sio Elimu..Mwanaume ili uheshimiwe hauhitaji kuwa na PHD bali unahitaji kuwa na na account ya USD yenye uwezo wa kuitunza familia kwa muongo mmoja bila tabu.
@max_zitatu @ManenoIzaak
@Ze_Godfather
@MarekaMalili