High School Student | Chairman - CBL (Connections Based Learning) Club Tanzania | Head of Admin GYAPS Tz | Chairman - TAX Club Tanzania | Young entrepreneur
Wadogo zangu wote mliomaliza kidato cha nne na sasa mnaenda kidato cha tano na sita, mjitahidi sana mnachoenda kuchagua huko kiwe kinauhusiano mzuri na mtakachokwenda kusoma Chuo Kikuu. Mtanishukuru baadae. Ni ngumu sana kusoma PCM au PCB halafu Chuo Kikuu usome Accounting โ๏ธ
Hofu hupelekea ubongo kuzalisha stress hormones ambazo hulisha chemical katika damu zinazo dhaifisha kinga ya mwili, hofu ni zao la mtizamo kichwani kwako juu ya jambo fulani โ~ prof Bruce Lipton
Vaa barakoa, osha mikono marakwamara, epuka misongamano, kaa nyumbani kama huna shughuli za muhimu, toa taarifa kwa wahudumu wa Afya unapojisikia dalili, Kwangu hizi ndio taarifa muhimu juu ya corona....nakama kuna zingine zakuniwezesha kujikinga zaidi na kuwakinga wengine
Move ahead and never look behind,
Because life gives you a chance to unwind,
For now, give your best in whatever you do,
Everything will be great and new,
Good day!
Nikweli kwamba jamii za watu wa asili ya asia utaona kiwanda na kuambiwa babu yao alianza na Ice cream, alafu sisi utaona kibanda na kuambiwa hawa babu yao ndio alikuaga anamiliki viwanja vyote mtaa huu akauza na watoto wakaja malizia kuuza vilivyo baki???