Wachimbaji waTanzanite kuweni imara, mtapita katika bonde la uvuli wa mauti kwa namna ambayo msingeweza kufikiri. Watakuja kwa raslimali zenu na mali,mtalia sana ndipo mtajifunza mila na utamaduni wetu ya kwamba haki sio kwa ajili ya chama bali ni kwa ajili ya Watu wote.
Kwanini mmeamua kumpa kesi ya mauaji wakati nyie ndio mlioua ? hamuoni kama mnafanya mauaji makubwa ya haki na Taifa.Mnafikiri haki inaweza kushindwa na hila ?Watu hawawezi kujua thamani ya mwanga kama kusingekuwepo na giza. Wanatembea na wewe lakini rohoni wamekuacha mbali sana