@nikkwapili Kumbe muziki unaosikiliza, movies, vitabu na documentaries pamoja na marafiki uliokua nao bado havijakusaidia kupata EXPOSURE katika suala hili, OK.
@Wakazi You just spoke like a Rap game groupie right there. Uliwekwa nae online XXL mbona hukumwambia haya straight up unakuja kuandika huku?? Wtf uliishia kusema unatambua uwezo na kipaji chake and you ar OK he ain’t recognizing your wackAss...au ndio maana @NikkiZohan anakuitaga Punga?
Chance and Time happens to everyone.
Today Zoom alone worth more than Seven world's top airlines put together!!
Success is when opportunity meets readiness.
Watching the Program “made in Tanzania” on clouds tv @CloudsMediaLive it’s a productive program but the narrator needs to improve on narrations content. Also they need to work on sound
@CloudsMediaLive@diamondplatnumz Mlikua hamna tena content, huwezi kumaintain kuwa media kubwa ya kiburududani halafu humuongelei msanii mkubwa!!
Apparently He is the only one offering the most interesting content in the industry !! Kwa hili ameeasaidia
So kumbe ile ya kuitaga press conference na kuzuiliwa ilikua haina hata haja ya kuwa vile!!
Kumbe iliwezekana kujirekodi mwenyewe na kuiachia mitandao na ikaenda na hao press wakaichukulia huko huko !!
Wafanyabiashara watanzania wanaotaka kuagiza vifaa tiba kutoka China wanashauriwa kununua vifaa hivyo kutoka kwa Makampuni yaliyoidhinishwa na Serikali ya China kuzalisha na kuuza vifaa tiba NJE YA NCHI katika kipindi hiki cha COVID19. Ifuatayo ni orodha ya makampuni hayo👇👇