@KantelinyoM@swahilitimes Kuwa shabiki wa chama cha siasa ni sawa na kuwa shabiki wa mpira..
Unaonekana unashabikia arsenal, je shabiki wa man city akuite msaliti?
@bbcswahili Kama bado wanatumia fb., Instagram, whatsapp, tweeter na zote zinatoka USA, Bado kazi wanayo tena sana,
Kuna wakati waafrika tunatawaliwa na mihemko tu