#InternationalWomensDay may be behind us, but the issues it highlights continue to demand attention. To date, cardiovascular diseases (CVDs) are the number one cause of death in women across the globe!
#TransFatFreeKenya#TransFatFreeEAC
"Tuwe angalau na miezi sita watu wa IEBC wakuje kwa ground kusajili wapiga kura, ndio suala la watu kukosa nauli ya kufika kwa kituo litatulia."- Bright Shitemi, Mtaalamu wa uongozi
#TV47Matukio@joshonsare
Simulizi zinazokinzana zimeibuka kufuatia tukio la mwanamke aliyepasua kioo cha mbele cha matatu katika kituo cha magari cha Luthuli hapa jijini Nairobi.
Video inayosambaa mitandaoni inadai mwanamke huyo alichukua hatua hiyo kwa hasira baada ya utingo kudaiwa kutoweka na chenji yake.
#UpeowaTV47 @joshonsare
As we mark Glaucoma Awareness Month this January, we are pleased to share that Hannah Ng’ang’a, OCO / Low Vision Specialist at KSB, will be featured on @tv47news Matukio Show hosted by @joshonsare today at 11:00 AM.
President Ruto has nominated Canon Dr. Ida Betty Odinga, EGH as the Ambassador/Permanent Representative of the Republic of Kenya to United Nations Environment Programme (UNEP).
"Asilimia 50/50 ya wanawake kwa wanaume wanatembelea vituo vya ngozi..Sana sana, wananume wataepeuka kutembelea vituo vya ulimbwende (Spa) kama wanawake." - DKT. Carol Mwatha, Mtaalam wa Ngozi
#TV47Matukio@joshonsare
HABARI ZA SASA
*MBUNGE WA KASIPUL AMEULIWA*
Mbunge wa Kasipul Charles Ong'ondo Were alifyatuliwa risasi na kuuliwa na mtu asiyejulikana katika mzunguko wa City Mortuary, Nairobi.
Picha:Hisani
@AmbMKamau Tumefeli kama taifa. Naamini kuwa serikali ambayo ni wananchi, wakiamua kupigania nafasi ya lugha hii muhimu ya Kiswahili, tutakomesha wasioitambua.
#Kiswahili
Rais William Ruto akutana na mchungaji wa kanisa la Jesus Winner Ministry, Edward Mwai katika ikulu ya Nairobi.
Yalioangaziwa ni pamoja na Uajiri wa vijana Ughaibuni, Mchango wa milioni 20, nk.