Watu wetu wameteswa na kuuwawa manane ya usiku na kutupwa misituni, damu ilivyokua tamu sasa wanakamata watu na kutesa na kuwauwa hadharani mchana kweupe, hii mbegu haiko mbali kuota maana inapewa kila aina ya huduma muhimu.
#NoReformsNoElection
Kipindi nipo CCM nilikuwa na waona CHADEMA Waleta vulungu maana CCM ndivyo walivyo Tuaminisha. Baada kuja kugundua ukweli kumbe CHADEMA ni watu WEMA kabisa na wananianjema Na NCHI YANGU
Siku Moja kulikuwa na kikao tuliijadili sana CHADEMA kusema kweli CCM wanaiyogopa san CDM
VIDEO:
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo @ACTwazalendo , Bw. Zitto Kabwe @zittokabwe , ametoa wito mzito kwa mamlaka nchini Tanzania kumwachia huru mara moja Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisisitiza kuwa kuendelea kushikiliwa kwake gerezani ni kikwazo kikubwa kwa juhudi za kitaifa za kutafuta maridhiano na ustawi wa kisiasa.
Akizungumza katika kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo Alhamisi, Mei 28, 2026, Zitto amebainisha kuwa nchi itafaidika zaidi iwapo Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ataamua kuiondoa kesi hiyo mahakamani bila masharti yoyote.
Zitto amesema kesi inayomkabili kiongozi huyo mkuu wa upinzani haina mashiko ya kisheria bali imejaa "danadana za kisiasa" zinazolenga kumweka jela kwa muda mrefu bila sababu za msingi.
Kwa sasa MUUNGANO wa vyama unaotakiwa ni njia mbili tu.
1. Viongozi wa upinzani wanaotaka kufanya siasa ktk upinzani kuhamia na kuongeza nguvu Chadema.
2. Wanachama wa vinavyojiita vya upinzani kuasi na kuviacha vyama hivyo kwa msajili na magenge yake na kujiunga na Chadema.