Baada ya kupata Feza za Mafao ambazo zilikuwa zaidi ya 70M.
Huyu Mzee anasema alichomoa 6,000,000 TZS. Kama mtaji .
Akanunua miche 600 ya parachichi Hass na kuanza shamba lake.
Baada ya miaka kadhaa kila mti ukatoa wastani wa 80 — 100 parachichi.
600 × 80 = 48,000 parachichi.
Akauza kwa jumla jumla wastani wa 700 TZS kwa parachichi moja.
48,000 × 700 = 33,600,000 TZS kwa msimu.
Sasa hivi amenunua Gari aina ya Coaster zinafika 53 zote ameziandika nyuma Ahsante Parachichi .
Vijana kwanini tusiende huku ..?
Msimamo Rasmi wa @ACTwazalendo kuhusu kuondolewa kwa Mgombea Urais wetu ndg. Luhaga Mpina katika orodha ya Wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.