Wiki hii kampuni yetu ya WORKNASI COM LIMITED @worknasi imezindua duka la uuzaji wa bidhaa za Hisense. Duka letu liko Mbezi Beach ya chini (Mwai Kibaki road), karibu na kituo cha mafuta cha Oryx. Karibu Sana.
Hebu naombeni maji ya kunywa, kiinglish ni kigumu jamani😃😃. Anyway follow the link and enjoy the conversation I had with @TheChanzo about my entrepreneurial journey. Thanks to my brother @tonyalfredk for this✊🏿🙏🏿
Worknasi founder took us back to where it all began, from an idea to a product and now a full company. #YoungBoldDigital
Watch the full interview: https://t.co/fkPE9B5roh
Kama serikali inataka kutengeneza hela kupitia mifumo ya kidigitali, basi iwacharge platform owners na consumers. Mcharge YouTube, sio uploader, mcharge Facebook Business sio mwenye page. Hao ndio wanaotengeneza hela na ndio wanaochanyiwa na nchi nyingine zote.