Tsh 80,976,000/=
OFFER๐
Brand: Cartier Model:
Tank Solo XL Automatic
Case Size: 31 ร 41 mm
Condition: USED
WhatsApp +255719068333
Mudi in Dubai ๐ฆ๐ช
@salim_alkhasas Lissu katika Moja ya majibu yake dhidi ya Katuga, alisema, kazi za mbunge sio kuwakilisha wananchi tu. Huhitaji elimu yoyote kuwa mwakilishi. Utashi tu unakupa sifa ya kuwakilisha.
@safarimlevi Kwa akili za kipumbavu unawaza pesa za Elon, Ndugu zinaweza kukuletea laana ya maisha. Kijana ambaye huna mtoto unawezaje kidhihaki kazi ya Muumba?
@PolycarpMDM Naona mnamsahau Marco Rubio Secretary of State, huyu Maduro anamfahamu vyema, na ndie anatajwa kupambana Vance uchaguzi ujao kwenye chama Chao cha Republican kwenye nafasi ya kuwania uraisi.