Twaha Mwaipaya, a Tanzanian national, was reportedly abducted at around 2pm today in Kamulu, Machakos County, by individuals travelling in three vehicles, including a Toyota Land Cruiser hardtop.
He was travelling by taxi to visit friends. Anyone with information on his whereabouts is urged to reach out immediately. Authorities must urgently establish his whereabouts and ensure his safety.
Please share widely. #FreeTwahaMwaipaya
Orodha ya watu wanaotajwa kuhusishwa na mauaji na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi wa mwaka jana, pamoja na wale wanaotuhumiwa kuhusika katika vitendo hivyo vinavyoendelea.
LIST OF ACCOUNTABILITY A list of individuals alleged to have been involved in killings and serious human rights violations during last year’s election, including those accused of continuing to be involved in such abuses.
@SuluhuSamia@ikulumawasliano@amnesty@hr@UN_HRC@UN@UNHumanRights@Europarl_EN@commonwealthsec@IPUparliament@UMBorgerservice
VIDEO:
Kauli ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Idara ya Oganaizesheni, Paul Chacha, kusema vyombo vya ulinzi na usalama na viongozi wa serikali ni mali ya CCM, akidai kuwa chama hicho ndicho kilichowaweka katika nafasi hizo, imeendelea kuibua mjadala nchini Tanzania.
Wakati wa mjadala wa Utawala wa Sheria uliorushwa kupitia kipindi cha Medani Kuu cha Star TV chini ya mtangazaji Edwin Odemba (Chief Odemba) Jumamosi Oktoba 10, 2026, Wakili Leonald Manyama na Wakili Dickson Matata wamechambua kauli hiyo ambapo Manyama ameeleza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama msingi wake ni mali ya wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini akasisitiza kuwa video ya kiongozi huyo wa CCM imesambazwa ikiwa imekatwa bila kuangalia muktadha halisi wa mazungumzo.
"Vyombo vya ulinzi na usalama havipokei maagizo kutoka Chama cha Mapinduzi. Vinapokea maagizo kutoka kwa Amiri Jeshi Mkuu ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye amepewa mamlaka hayo na wananchi kwa kura zao... Anapotoa maagizo kwa vyombo vya ulinzi na usalama hawi kama Mwenyekiti wa CCM, anatoa kama Amiri Jeshi Mkuu." Ameeleza Manyama.
Wakili Manyama ameongeza kuwa mawaziri wanaowasilisha bajeti za wizara za ulinzi na usalama bungeni wanatokana na CCM na wameteuliwa na Rais anayetokana na chama hicho, hivyo kutoa wajibu kwa CCM kuhakikisha vyombo hivyo ili kulinda taifa.
Kwa upande wake, Wakili Matata amepinga vikali utetezi huo, akisema kuwa maelezo ya Manyama yanaakisi kilekile alichokisema Chacha kwamba CCM inavichukulia vyombo vya ulinzi na usalama ama mali yake ya chama. Matata amebainisha kuwa mtazamo huo unapingana wazi na Katiba inayotaka vyombo hivyo kubaki huru bila kuunganishwa na chama chochote cha siasa.
‼️🚨TAARIFA MUHIMU‼️
Kikao maalum cha mawaziri (CMAG) itafanyika September 20,2026 huko New York
Katika kikao hiki wanajadili suala la Tanzania na serikali imeshapeleka ripoti ya UONGO kwamba kuna maridhiano na kesi ya Lissu inaenda vizuri
Kwa hiyo tunaanzisha kampeni maalum kila mtanzania awafikie wajumbe wa kikao hicho na wizara zao kuwaeleza kuwa hali nchini si tu haijawa na nafuu bali hali ni mbaya zaidi ikiwemo kuendelea kukamatwa na kupewa kesi za ugaidi kwa wananchama wa Chadema na vijana, utekaji na mauaji, kesi ya Lissu kuendelea bila msingi wa maana nk
Pia hakikisha unaambatanisha picha - ushahidi iwe ni ya mauaji ya Oktoba mwaka jana au uonevu wa wauaji kwa mwaka huu ikiwemo utekaji, mauaji nk
Ujumbe uwe kwa kiingereza ila hata ya kuungauunga haina neno - huu si mtihani wa darasani alomuradi ujumbe ufike
Akaunti za wajumbe na nchi zao hapa X ni hizi:
Antigua and Barbuda: Foreign Affairs, Immigration and Trade Minister, Hon. E.P Chet Greene @ABMinistryFA
Botswana: Ministry of International Relations @MIR_BW
Canada: Minister of Foreign Affairs Anita Anand @AnitaAnandMP
Foreign Policy @CanadaFP
Grenada: Ministry of Foreign Affairs Grenada @MoFAGrenada
Malaysia: Ministry of Foreign Affairs Malaysia Wisma Putra @MalaysiaMFA
Malta: Ministry for Foreign and European Affairs Malta @MFEAMalta
Minister for Foreign and European Affairs Chris Fearne @chrisfearne
Mauritius: Minister of Foreign Affairs of Mauritius Dhananjay Ritish Ramful @RitishRamful
Samoa: Government of Samoa @samoagovt
Zambia: Zambia Foreign Ministry @ZambiaMFAIC
Commonwealth Secretary-General Shirley Botchwey (@SGCommonwealth)
Commonwealth Secretariat (@commonwealthsec)
🚨 Many people have already earned from this Turing project try your luck this new month!
Turing AI Quality Analyst
💰 $20/hr | 🌍 Remote | 3-month contract
You’ll test Gemini’s personalization, create prompts, compare AI responses, and evaluate how accurately it uses personal context.
💻 Laptop + good internet
🧠 Strong analytical & English skills
⏰ 4–40 hrs/week
⚠️ You’ll need to use your personal Google account and data sources for the evaluation.
New month, new opportunity. Give it a try!
Apply here https://t.co/RAJT3Q4n9q
The Academic Registrar of Universal Technology and Management University (UTAMU) warmly invites the general public to apply and join our most competitive Postgraduate Diploma and Certificate programmes for Aug/Sept 2026 Intake. Call: 0750599736, 0770884643 [email protected]