A Mother of two Princesses ,A Student of Life.. MBA-CM🎓🎓 A woman with big heart❤️#DaughteroftheMostHig#TeamTaurus #Christian-imperfect but always forgiven🇹🇿
Sometimes Jifanye Dish Limeyumba na Life Limekupiga ili Wakupuuze—Hakuna Muda Mzuri wa Kujifua, Kujinoa, na Kuchora ramani ya Maisha yako Kama Watu Wakikupuuza!
Kwenye Kujitafuta Epuka sana Attention na Ujuaji!
BRO TO BRO
Huhitaji kundi kubwa la Marafiki
Unahitaji marafiki wachache
Watakaokufanya ujisikie unaweza kufanya zaidi, kuwa na nidhamu zaidi na Wataokuambia ukweli ambao wengine wanaogopa kusema
Circle yako inaweza kuwa daraja lako lako la mafanikio au kaburi la ndoto zako
Financially - I’m going to win.
Mentally - I’m going to win.
Emotionally- I’m going to win.
Physically - I’m going to win.
In my life - I’m going to win.
Make it a habit to talk about your blessings more than burdens. Where focus goes, energy flows.
Warumi 8:18-19
"Kwa maana nayahesabu mateso ya wakati huu wa sasa kuwa si kitu kama utukufu ule utakaofunuliwa kwetu. Kwa maana viumbe vyote vinatazamia kwa shauku kufunuliwa kwa wana wa Mungu."
Mnazaliwa zaidi ya 3 kwenye familia lakini hakuna wa kumsaidia mwenzie hata akiwa na shida ya 500k,
Familia nyingi za kibongo ndio maana zinachukiana sana.
Always keep close the people who genuinely make the effort to support you emotionally, it has never been easy, and thats exactly why such people are rare and invaluable.