@Exquisite_255 Huwa unanifurahisha sana unavowapumzikia watu siwapingi wanaoamini maana kila mtu ana freewill yake ya kuamini anachotaka, but sahivi mtu usipokua makini kutafta maarifa yako mwenyewe utachekechwa sana ππ
@wickama Hayo ni maji ya juu ambayo mostly yanatokana na mvua(rain aquifers) kipindi Cha jua kali yanakauka, kisima kirefu ni kuanzia mita 50 na kuendelea, hapo utakua na uhakika wa maji muda wote kwa sababu unachukua aquifers nyingi ambazo recharge yake hazitegemei mvua za msimu