@Adventure_36 Umeleta taarifa ya upande mmoja, ukipata taarifa za upande wa pili, ipo sababu iliyopelekea jamaa kufanya hivyo.
Sema ni vile wanaume tumekuwa wakubeneshwa lawama bila kusikiliza!
@TanzaniaLeaks Wanatengeneza tatizo ili waje na ngonjera za kujipatia Sifa!
Maji yalikuwa yanapatikana vizuri tu, Ila toka 2023 ni shida hata kipindi cha masika, huku kinyerezi.
@MarekaMalili Huku kinyerezi miaka 3, Maji shida hadi kipindi cha masika!
Yaani alivyoondoka Magu, mda kidogo shida ya Maji ikaanza hadi leo.
Tank wamejenga wamejaza Maji, mabomba wamefumua wameweka mapya Ila Maji hatupati!!!
@godbless_lema Mzee kishimba mtu sana, alikuwa akielezea jambo linalohitaji fomula ngumu na kuliweka katika namna nyepesi sana ya kulitatua.
Mungu amlinde