@ZuriathAhmed Haya always na kutamkia kwamba your the only one โ๏ธ unakaidi haya nakuomba basi ili FURAHA yako isipotee date na mayeleee๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
@Labella_Mafia95 Hakuna kitu ambacho unaweza kukifanya pasipo kuingia gharamaa hata hivyo weqe mwenyewe imekugharimu mda kutafakar hili mpaka umetuvuta kuweza kuchangia mada yako