@AlexSamoja@fumbokhanJr Achana na kiooo huyu kijana Kuna kipindi alikuwa hawez kunawa hata uso ili tu awahi kuchungulia chuchu za wadada atajuaje hesabu ?
@Octavianlasway@ZakayoMmbaga Unataka apromoti hospital kivip yaan hospital zetu vifaa tiba vya shida unataka ajiweke matatan kaka aaaaa unazigua yaan ukute mi nasifia hospital ninayofanyia kazi kuwa inajitahidi wakat najua hamna kitu wee Ila kwa @privaldinho hapaswi kupromoti account zake Bali za timu yake
Jeshi la Polisi kituo kidogo cha Kasanda wilaya Kakonko mkoa wa Kigoma. Wame mpiga risasi kijana mwenye umri wa miaka 15 wakati wa maandamano ya wakina mama wa Kasanda kwa sababu ya mtoto wa Afisa maji kuchomwa na moto na mke wa askari Polisi.
Risasi zinaendelea...
28-09-2024.